Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

safi sana kwa taarifa.huyo ni jembe uendelee kutujuza yanayojili pamoja na kutupia picha za matukio yananayoendelea.pamoja sana!
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.
 
we mwanamagamba ya UKAWA yanakuhusu nini?
 
Yani salum ananikosha balaa maana utendaji wake ni mkubwa sana
Ndio maana tunaposema Zitto alikuwa mzigo kwa CDM tunamaanisha.
Bavicha bana huyu Mwalim ndiyo wakumfanisha na Zitto.

Kwi kwi kwi kwi!! Mbowe mwenyewe hana uwezo kama wa Zitto sembuse huy Mwalimu.
 
Last edited by a moderator:
ukawa wakichukua nchi watateseka sana ccm wameiacha pango.ccm wazee wa dili
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Mkuu kwa speed ya CDM na coverage/size ya Zanzibar, one day is enough and the rest (364 days) Tanganyika.
 
Live!mkutano mkubwa wa Mhe Salum Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar katika viwanja vya shule ya sekondari Mara wanainchi mbali mbali kutoka kila kona ya Musoma mjini wameshafika kumsikiza Kiongozi wao

unasikia mkuu , hii habari haitakiwi kwenda chukuchuku , anza na picha za jukwaa kuu .
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Hovyo, eti huyu naye ana kichwa
 
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu akiwa jukuwani muda huu.
 
Attachments

  • 1434206552740.jpg
    1434206552740.jpg
    87.1 KB · Views: 5,033
Back
Top Bottom