wakitoka hapa wanaenda mikoa ya pwani ili kuondoa kasumba ooooooooh chadema haikubaliki mikoa ya Pwani...
Nawajuwa vizuri sana kaka, ni vigeugeu wazuri sana hawa. Nimemwambia simwamini na magamba wote hawaaminiki, nikamtaka ajitokeze kwenye mkutano wa hadhara ayaseme haya mbele ya kadamnasi akasema yupo tayari. Hebu fatilia mazungumzo yetu mkuu!
Tunashukuru Mwigulu ulitushinda Igunga tumelipa Arumeru. At least wewe unajua siasa huyo mpuuzi Lusinde mwambia asome kwanza siasa inataka elimu sio kuropoka kama juha
Mkuu huwa sipendi mzaha kwenye masuala ya msingi......nakushauri futa hii post yako au ID hii iwe merged kwenye ban.acha wale tena ban ,nilikua natumia ID name Matola..watakua wamenionea ila dukuduku langu la kusherehekea ushindi nishalitoa hureeeee...
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
samahani Rosweeter, tuweke siasa pembeni kidogo, kama hiyo ni sura yako halisi basi siyo polepole!!!!!!
Rejao na Ritz ukiwaingia kihasira lazima ulambe banHapana ngoja wale BAN zao. Mie REJAO alinichongea nikala BAN za siku 90. Najua machungu ya BAN. NGOJA WAJIFUNZE!
Kijana aachwe afanye kazi, Arumeru inachangamoto nyingi sana za msingi. Japo na jimbon kwangu kuna changamoto Arumeru kuna la ziada tatizo la ardhi sasa yakianza mambo ya mahakaman tutawanyima wameru matarajio yao kufikiwa
Amebaki na aibu zake..amejionea jinsi milioni 19 za Visibility study zilivyofanya kazi.
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.
Ni wakumbushe
au nisiwaku
mbushe,kampeni
zimezua mambooo!
Eti Julius nyerere
aliuliwa na nani
tena!
Haya ndiyo maneno sasa. Achana na mambo yakusema mahakama, maana source za kesi mahakamani ni nyie magamba
Haya ndiyo maneno sasa. Achana na mambo yakusema mahakama, maana source za kesi mahakamani ni nyie magamba