Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,
Mtawatambua kwa maneno yao.....
 
wanaichambua serikali isivyo jali kutatua kero na madai yao,hawa jamaa wanamwaga point
aaaa lete vitu vieleweke mbona tena unakuwa kama upande ule wanao cma ccm imeleta maendeleo makubwa

 
Vimon wapi habari mkuu. Hii ni live coverage lakini naona kama huendi na pace.
 
Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??

@#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we
Kwani kuna siri gani?????
 
Wewe ni nani hapo,Mwandishi,Daktari au shushu?
KIKAO NDO KINA ANZA Dr. Namala ameonge na anasisitiza kikao kiwe brief na detail,Dr. ulimboka kaongea amekwisha toa muhtasari wa mkutano wa tarehe 9/2/2012,Dr. Namal anasisitiza sababu zilizosababisha kuhitilafiana/kutokukubaliana na meza ya majdiliano ya serikali. Madaktari wanatoa michango yao. Kikinuka nitawajulisha
 
jamani wasigome kwanza mamangu ndo kwanza kafika dar leo ili walau atibiwe kwanza sina pesa za kumpeleka India mimi
 
umetumwa nahisi wadau huyu hayupo ukumbini hapa sipo kulumba

Mkuu Vimon hachana nae huyo,kwanza hauoni tofauti ya wewe na yeye?mtu hajui hata kuandika,endelea kutuhabarisha mkuu
 
wadau kunamaamuzi magumu yanafanyika nitawajulisha nini kinaendelea.
 
Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??

@#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we

Safi mkuu kwa kusawazisha
Pamoja
 
Back
Top Bottom