Mkutano wa Lowassa wadoda ile mbaya

Mkutano wa Lowassa wadoda ile mbaya

Hii tabia ya kupiga picha jukwaa pekee na kutudanganya mkutano umedoda kamdanganye mkeo ila kama unae nitashangaa sana!

Hii picha ya siku nyingi mikutano ya kijiji jimboni
 
810872765.JPG

tuonyeshe bendera za Ukawa
 
Ukiona unapigana ngumi halafu mpinzani wako anakuachia uso upige basi jiandae kutolewa kwa KO. CCM wameachiwa uso Arusha juzi na leo wamepigwa KO. Jana waliachiwa uso Moshi na kesho wanapigwa KO ktk uwanja ule ule.
 
Ukishindwa kuiteka Arusha juwaumeliwa
 
Mtego wa CCM ukiweka hata unga wananasa usiingie gharama kutega kwa nyama wala samaki
 
Sikatai kwamba umedoda ivi huo mkutano illikuwa ni wapi? maana naona
kama ni kikao cha famili ivi
Hata Mimi nilitaka nimuulize hivyo kwamba angesema hapo ilikuwa ni wapi na ni lini Lowassa alifanya hicho kikao isije ikawa huyu jamaa analeta picha na habari za miaka minne iliyopita akasema ni kampeni ya ukawa
 
Hii tabia ya kupiga picha jukwaa pekee na kutudanganya mkutano umedoda kamdanganye mkeo ila kama unae nitashangaa sana!

Nifah : jitu ongo kama hilo mke atamtoa wapi?? hata kama yupo nae basi utakuta watu wanamsaidia ,maana hakuna mwanamke anayeweza kuishi na mtu muongo hivi,
 
[h=3]Nahisi watu wengine wanaoanzisha mabandiko wanasumbuliwa na Schizoprhrenia Spectrum Disorders[/h]
 
Back
Top Bottom