Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,320
*MKUTANO WA LOWASSA ARUSHA MJINI OKTOBA 8, 2015

Mkutano wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA na kuungwa mkono na wanaUKAWA wenza, Mh Edward Lowassa Utafanyika SIku ya Alhamisi Tarehe 8, Mwezi Oktoba Mwaka 2015 Katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Sinoni, Kata ya Sinoni! Uwanja ni mkubwa wa kutosha na tumeamua tufanyie hapo kujihami na madhara kama yaliyojitokeza Tangamano, Tanga..

Tunatamani tumalize shughuli hii ya kampeni na uchaguzi, na kisha kukabidhiwa dola kwa amani na usalama bila mtu yeyote kujeruhiwa. Tushirikiane kuhakikisha hakuna mmoja wetu atakaye dhurika.

Imeshindikana kufanya mkutano kesho kama ilivyokusudiwa awali kwasababu leo wenzetu wa CCM walikuwa na mkutano wao na hivyo kukawa na muingiliano wa gari zetu za matangazo kuutangaza maeneo yote ya Jimbo la Arusha Mjini. Kuna baadhi ya watu binafsi walilazimishwa na wanausalama kutoa bendera za chama chetu kwenye magari yao (japo sio misingi sahihi ya demokrasia). Hatukuona sababu ya kulazimisha kuvutana wakati tunafahamu Ushindi tunao.

Pia imetokana na uhitaji wa watanzania wengi na hasa walio nje na Arusha kushuhudia Mkutano huu kupitia matangazo ya moja kwa moja ya televisheni. Tunaendelea na mchakato huo na utakapokuwa tayari tujafahamishana kupitia magari ya matangazo na kwenye mitandao hii ya kijamii.

Sambaza taarifa hii kwa wadau wengine.

Asante!
 
Hiki kiwanja changu kabisa, siwezi kosekana hapa
 
Ata mm ntakuwepo, ila chaguo langu ni Magufuli.
Hapa kazi tu.
 
Eeh bwana ngoja niongee na home niwape hizi habari njema wajiandae.
Though nadhani watakuwa wameshajua,all the best wanamabadiliko Arusha huko.
 
mmebadilisha tarehe ili mpate muda wa kusafirisha watu kutoka Tanga na Kilimanjaro eeeh,
 
  • Thanks
Reactions: nao
lowasa hajiamini,,,,mwambien arudie tena kote alikopita magufuli,,,,japo haitamsaidia sana pia.
 
Eeh bwana ngoja niongee na home niwape hizi habari njema wajiandae.
Though nadhani watakuwa wameshajua,all the best wanamabadiliko Arusha huko.

Nifal ni Binti uliyejitambua coz nakuta comment nyng zako, indeed u need changes i satute u.
 
CCM hawakujua Ratiba ya Lowasa amewakalia kooni mnaanza lia lia kama vitotoi vilivyobanwa mkojo
 
Back
Top Bottom