Bado Kidogo 2015
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 207
- 78
unataka wafiche makucha yao wakat yashaonekana
unataka wafiche makucha yao wakat yashaonekana
Wanajamvi,
Kuelekea mkutano mkuu wa leo pale jangwani napenda kuwaasa viongozi watakaohutubia pale jangwaani kuepuka KAULI TATA zitazohitaji utetezi mwingi ili zieleweke machoni pa wananchi.
Ieleweke leo ni kama siku ambayo wanaD'Salaam wanasubiri ukombozi hivyo haihitaji kuwachanga watu. Kinachotakiwa ni kuwa na shabaha kubwa katika uhutubiaji wa leo.
Kila mtu atayepata nafasi kuongea kwa kadri ya uwezo wake wote ili ahakikishe ujumbe wake umefika vizuri na kupokelewa vizuri.
Ikumbukwe umati utakahudhuria leo utatoa message kubwa sana kwa waliobaki majumbani na hata dira kwa ujumla kwa jiji la D'Salaam.
Nihitimishe kauli kama za kina Nassari Arusha hazihitajiki leo, magamba yanawasha sehemu nyingi ni kuchagua sehwmu gani tu ya kuchuna.
Nawatakia kila la kheri wana D'Salaam wote, wito wangu mhudhurie bila kukosa ili kutuma message hapo Magogoni hali ni mbaya 2015.
Ni mimi Bado Kidogo 2015.
ujembe umefika kamanda. Tupo pa1
peoples....\/
Mtu akiamua kukuwinda atakupata tu hata ukijaribu kutumia mbinu gani hawashindwi kusema mmechochea machafuko these people are idiot.....
Bila shaka w hauna Mungu!
Kwa hiyo nanyi mmeshaonyesha makucha yenu, maisha bora kwa kila mtanzania?
Tuko pamoja sana comrade ujumbe wako umeeleweka vizuri kabisa image itakayoonekana hapo ni lazima isadifu uchaguzi ujao Mungu awape hekima wanenaji wote wa leo pia awape subira wasikilizaji wote....Mungu anibadiliki na mimi pia Amin
Kauli TATA!! Mie sijaelewa kauli tata unamaanisha nini.. Ni wazi kwamba kauli tata Kwa mtazamo wako ni zile zitazoonekana kukera CCM Na serikali yake of which ndicho kitachotokea. Naamini asilimia 99.9999 ya kitachoongelewa hakita ifurahisha Ccm Na serikali yake.. Sasa labda ufafanue gravity ya speech unataka iweje au nikusaidie uweke agenda za kitachozungumzwa Kama hivi
1. Jamani wananchi fugeni kuku.
2. Maziwa ni chakula bora si ndio eee
3. Tuwe tunafagiaga barabara zetu wajameni
4. Kufua nguo ni Afya
5. Maralia haikubaliki
Nadhani maada zikiwa hizi mtoa Hoja utakuwa Na furushi la furaha.. Shitt!!