Kwa dhambi hii, mkutano wa CCM Jangwani Mungu atawapiga kofi

joely

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,055
574
Nianze kwa kumshukuru Mungu kutuwezesha kuiona Siku hii nzuri ya leo.
Pamoja na hayo nimefedheheshwa sana na hujuma na upendeleo wanaopata Ccm toka katika vyombo mbalimbali hasa vilivyopo chini ya dola na vinavyohudumiwa na kodi ya watanzania.
Angalia vyombo vya habari vya umma, angalia mienendo ya vyombo vya usalama, angalia mienendo ya wafanyakazi wengine wa ngazi za juu Serikalini kote huko hofu ya kitu kiitwacho Ccm, chenye uwezo feki wa kuumba na kubomoa.

JE SASA TUFANYE NINI?

Kwa kuwa Mungu ni kwema tena ni mwenyehaki, na anayewatumia wanyonge walio dhaifu na vitu vinavyoonekana kuwa si kitu mbele ya wanadamu. Basi wale wote tunaoamini katika Mungu tuitumie Jumamos hii ya Leo 22/08/2015 na kesho tarehe 23/08/2015. Katika kumuomba mwenyezi Mungu ashushe mvua ya kutosha kupafanya jangwani ambapo Ccm wamepanga kufanya mkutano wao ili waendelee kututawala kwa hila pajae maji ya mvua na mkutano huo usifanikiwe.

KWA NINI MUNGU ATATUSIKILIZA.
1. Mungu wetu pia kaichoka Ccm kwa hiyo yupo upande wa mabadiliko, Mungu amekasirishwa sana na mauaji ya Albino, uporaji wa raslimali alizotupa taifa lake teule. Mauaji ya vikongwe, wachawi kuwa na nafasi kwenye Maisha ya baadhi ya wakuu wetu.
MUNGU AMESHUSHWA MPAKA KUFIKIA HATUA YA WACHAWI KUJIPA KAZI YA KUWALINDA WAKUU WETU.
HAKIKA MUNGU AMEKASIRIKA NA TENA AMEIPIGA CCM UPOFU.

2. Mungu Atatusikiliza kwa kuwa wanyonge ndio wanaoonewa katika nchi hii, fikiria wanawake wanaokufa kwa kukosa huduma ya uzazi wakati mwenyewe wakikohoa wanenda kutibiwa ulaya, angalia wanafunzi kutoka familia za kawaida wanaokosa mikopo ya elimu vyuo vikuu wanavyoangaika wakati watoto wao wanasoma shule za hali juu kwa kodi yetu.

MWISHO
Kila MTU mwenyewe mapenzi mema aombe japo kwa kutamka maneno machache kila unapopata wasaha.

"MUNGU TUNAOMBA MVUA DAR ES SALAAM HASA JANGWANI SIKU YA TAREHE 23/08/2015 . ILI ALBINO NA WATU WAKO WANYONGE KATIKA TAIFA LAKO WAKAPATE KUISHI KWA AMANI"

MUNGU WETU NI MWENYE NGUVU NAYE UWASIKIA WALE WAMWITAO KWA IMANI NA MATUMAINI
 
Usihukumu,waombeeni, labda ukumu yako kwa kuwa sio njema yaweza isifanye kazi.
 
Mkuu sija hukumu ila nimeomba tu kama Itampendeza Mungu na naamini itampendeza kwa kuwa Ccm imemgeuka sio tu Mtanzania Bali hata MUNGU Mwenyewe
 
Nianze kwa kumshukuru Mungu kutuwezesha kuiona Siku hii nzuri ya leo.
Pamoja na hayo nimefedheheshwa sana na hujuma na upendeleo wanaopata Ccm toka katika vyombo mbalimbali hasa vilivyopo chini ya dola na vinavyohudumiwa na kodi ya watanzania.
Angalia vyombo vya habari vya umma, angalia mienendo ya vyombo vya usalama, angalia mienendo ya wafanyakazi wengine wa ngazi za juu Serikalini kote huko hofu ya kitu kiitwacho Ccm, chenye uwezo feki wa kuumba na kubomoa.

JE SASA TUFANYE NINI?

Kwa kuwa Mungu ni kwema tena ni mwenyehaki, na anayewatumia wanyonge walio dhaifu na vitu vinavyoonekana kuwa si kitu mbele ya wanadamu. Basi wale wote tunaoamini katika Mungu tuitumie Jumamos hii ya Leo 22/08/2015 na kesho tarehe 23/08/2015. Katika kumuomba mwenyezi Mungu ashushe mvua ya kutosha kupafanya jangwani ambapo Ccm wamepanga kufanya mkutano wao ili waendelee kututawala kwa hila pajae maji ya mvua na mkutano huo usifanikiwe.

KWA NINI MUNGU ATATUSIKILIZA.
1. Mungu wetu pia kaichoka Ccm kwa hiyo yupo upande wa mabadiliko, Mungu amekasirishwa sana na mauaji ya Albino, uporaji wa raslimali alizotupa taifa lake teule. Mauaji ya vikongwe, wachawi kuwa na nafasi kwenye Maisha ya baadhi ya wakuu wetu.
MUNGU AMESHUSHWA MPAKA KUFIKIA HATUA YA WACHAWI KUJIPA KAZI YA KUWALINDA WAKUU WETU.
HAKIKA MUNGU AMEKASIRIKA NA TENA AMEIPIGA CCM UPOFU.

2. Mungu Atatusikiliza kwa kuwa wanyonge ndio wanaoonewa katika nchi hii, fikiria wanawake wanaokufa kwa kukosa huduma ya uzazi wakati mwenyewe wakikohoa wanenda kutibiwa ulaya, angalia wanafunzi kutoka familia za kawaida wanaokosa mikopo ya elimu vyuo vikuu wanavyoangaika wakati watoto wao wanasoma shule za hali juu kwa kodi yetu.

MWISHO
Kila MTU mwenyewe mapenzi mema aombe japo kwa kutamka maneno machache kila unapopata wasaha.

"MUNGU TUNAOMBA MVUA DAR ES SALAAM HASA JANGWANI SIKU YA TAREHE 23/08/2015 . ILI ALBINO NA WATU WAKO WANYONGE KATIKA TAIFA LAKO WAKAPATE KUISHI KWA AMANI"

MUNGU WETU NI MWENYE NGUVU NAYE UWASIKIA WALE WAMWITAO KWA IMANI NA MATUMAINI

Hivi ccm wanahusika na mauaji ya albino?
Kama kuna ukweli hebu fungukeni hapa au Kama vipi copy kitu kizima afu unipm.....just wanna know the truth about this...ili nisikosee October 25
 
Ccm ndio wanaosimamia serikali, Serikali ndio inayosimamia vyombo vya kusimamia sheria na haki, haki kwa wanyonge nchi hii ni madini yasiyopatikana kabisa.

Kwa kifupi sikubalian na hatua za kuwalinda albino na hata utekelezaji wa hukumu.

Kundi pekee lenye kuweza kulazimisha utekelezaji wa sheria na likasikilizwa NI ccm
 
Nianze kwa kumshukuru Mungu kutuwezesha kuiona Siku hii nzuri ya leo.
Pamoja na hayo nimefedheheshwa sana na hujuma na upendeleo wanaopata Ccm toka katika vyombo mbalimbali hasa vilivyopo chini ya dola na vinavyohudumiwa na kodi ya watanzania.
Angalia vyombo vya habari vya umma, angalia mienendo ya vyombo vya usalama, angalia mienendo ya wafanyakazi wengine wa ngazi za juu Serikalini kote huko hofu ya kitu kiitwacho Ccm, chenye uwezo feki wa kuumba na kubomoa.

JE SASA TUFANYE NINI?

Kwa kuwa Mungu ni kwema tena ni mwenyehaki, na anayewatumia wanyonge walio dhaifu na vitu vinavyoonekana kuwa si kitu mbele ya wanadamu. Basi wale wote tunaoamini katika Mungu tuitumie Jumamos hii ya Leo 22/08/2015 na kesho tarehe 23/08/2015. Katika kumuomba mwenyezi Mungu ashushe mvua ya kutosha kupafanya jangwani ambapo Ccm wamepanga kufanya mkutano wao ili waendelee kututawala kwa hila pajae maji ya mvua na mkutano huo usifanikiwe.

KWA NINI MUNGU ATATUSIKILIZA.
1. Mungu wetu pia kaichoka Ccm kwa hiyo yupo upande wa mabadiliko, Mungu amekasirishwa sana na mauaji ya Albino, uporaji wa raslimali alizotupa taifa lake teule. Mauaji ya vikongwe, wachawi kuwa na nafasi kwenye Maisha ya baadhi ya wakuu wetu.
MUNGU AMESHUSHWA MPAKA KUFIKIA HATUA YA WACHAWI KUJIPA KAZI YA KUWALINDA WAKUU WETU.
HAKIKA MUNGU AMEKASIRIKA NA TENA AMEIPIGA CCM UPOFU.

2. Mungu Atatusikiliza kwa kuwa wanyonge ndio wanaoonewa katika nchi hii, fikiria wanawake wanaokufa kwa kukosa huduma ya uzazi wakati mwenyewe wakikohoa wanenda kutibiwa ulaya, angalia wanafunzi kutoka familia za kawaida wanaokosa mikopo ya elimu vyuo vikuu wanavyoangaika wakati watoto wao wanasoma shule za hali juu kwa kodi yetu.

MWISHO
Kila MTU mwenyewe mapenzi mema aombe japo kwa kutamka maneno machache kila unapopata wasaha.

"MUNGU TUNAOMBA MVUA DAR ES SALAAM HASA JANGWANI SIKU YA TAREHE 23/08/2015 . ILI ALBINO NA WATU WAKO WANYONGE KATIKA TAIFA LAKO WAKAPATE KUISHI KWA AMANI"

MUNGU WETU NI MWENYE NGUVU NAYE UWASIKIA WALE WAMWITAO KWA IMANI NA MATUMAINI

Mvua ishaanza kujikusanya tayari mkuu kwa ajili ya kesho, toka nje uone kama uko Dar... Nadhani Mungu naye atakuwa hapendi tembo waendelee kuuwawa
 
Back
Top Bottom