"when in rome act as romans" nadhani amefuata hii falsafaKumbe King Muswati akienda huko duniani anaacha kuvaa zile khanga zake
Hiyo suti amekuwa kama katundikwa vileHuyo mswati hajadamshi wala nini,bora angevaa mashuka yake tuu,.
Yupo bize, kunyoosha ni kitu kidogo dana kwa watu kama hao wagunduzi
........
Whats wrong with Bill Gates he is getting frail and he is age mate with jakaya.Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mfalme wa Eswatini Muswati pamoja na Bill Gates
wakati wa Mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani uliofanyika jana mjini New York, Marekani. #KwanzaHabari
View attachment 1216756
Utaambiwa ndio tamaduni zenye nguvuHili jamaa zoba hata kama ni mila.
Stupid kabisa
Stop being too judgemental. Unaonaje shati limejikunja tu na movement za kukaa na kuinuka inuka.