Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Ninafikiri tuwe makini zaidi pale tunapopeleka ujumbe kwenye mikutano ya Kimataifa.
Nimeona Waziri wa madini Mh. Biteko akihutubia kwa Kiswahili jamii ya Kimataifa. Anapigiwa makofi na Waswahili wenzake huku washiriki wa nje wakiwa kimya.
Yule wa Uganda ambaye ni mwanamama amegonga english safi, amepigiwa makofi na ukumbi mzima ikiwemo wale wadau toka Ulaya.
Ninafikiri ni vyema tukajitafakari zaidi ni wapi tutumie lugha ipi ili ujumbe ufike kwa wote bila chenga.