[/QUOTE]MKUU EBU ELEZA VIZURI, REJAO HATUKO NAYE TENA KWELI?? MMHH.. EBU FAFANUA VIZURI.. NI KITAMBO KWELI SIJAMUONA HUMU.. LABDA NIMUULIZE MZEE TUPA TUPA....?? MAANA YEYE NDIYE WAMEWANUNULIA TABLET PAMOJA NA KUTENGENEZA ID ZA VIJANA WOTE WA LUMUMBA WANAZOTUMIA HUMU....
Mkuu kwenye cc yako umemtaja Rejao? Kwani bado yuko hai huyu?
Tunafanya mikutano yakikanda na tunafanya kwenye makao makuu ya kandaMkuu Crashwise, hii ratiba kama inatuhusu na sisi Wa Shinyanga mjini tuelezeni jamani tusije tukakosa uhondo! Kesho kamanda mkuu atakuwa hapa mjini?
Mkuu Mzito Kabwela nipe hiyo Tarifa ya mkuu wa wilaya kiundani
Chaguo la watu,Chaguo la MUNGU
Mkuu Mwanahabari Huru viongozi wa CCM walipopata taarifa kuwa mvua imeleta madhara pamoja na vifo, wakakimbia mbio kupiga kambi maeneo yenye athari. Wakawa wanapokea misaada ya vyakula, magodoro, neti, fedha. Sasa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa CCM wilaya ya Kahama wakaanza kuiba vifaa vya msaada huku wahanga wakipiga miayo na kupatwa mshangao Mkuu wa Wilaya anaiba hadi sabuni za miche za misaada. Mkuu wa CCM Mkoa alipopata hizo taarifa za uhuni wa mkuu wa wilaya na m/kiti wa CCM wilaya, almanusura awatwange ngumi. Walizozana sana. Hii ilikuwa live ITV
Mbowe waziri mkuu wetu uyu,magogon ni dr.slaa na makamu wake lipumba,speaker ni marando,sheeeeeeda
lissu mkuu wa sheria
Tunafanya mikutano yakikanda na tunafanya kwenye makao makuu ya kanda
Cc. Chadema Kwanza
Msisahau kuwakumbushia kujiandikisha.Msiridhike na watu kujaa kwenye mikutano.Umuhimu kujiandjkisha.Pamoja na mizengwe ya CCM, hata ikibidi kununua kadi ya CCM kama ndiyo kigezo cha kujiandikisha wanunue tu mradi tupate wapiga kura wengi wa kutosha.
Yani hizi harakati ndio ziendelee moja kwa moja kwa moja hadi kufikia uchaguzi tutakua tumesafisha kila pande y nchi
Kiongozi hili la kujiandikisha shaka ondoa hata hapa muda huu nimetoka nyumba hadi nyumba kuwapa elimu ya uraia wananchi maana huku tunakoelekea ni lazima tufike tunakotaka!!!!!
Huko kuwa live ITV ndiyo hasa kichocheo. Isingekuwa po itv wala kusingekuwa na taabu.Mkuu Mwanahabari Huru viongozi wa CCM walipopata taarifa kuwa mvua imeleta madhara pamoja na vifo, wakakimbia mbio kupiga kambi maeneo yenye athari. Wakawa wanapokea misaada ya vyakula, magodoro, neti, fedha. Sasa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa CCM wilaya ya Kahama wakaanza kuiba vifaa vya msaada huku wahanga wakipiga miayo na kupatwa mshangao Mkuu wa Wilaya anaiba hadi sabuni za miche za misaada. Mkuu wa CCM Mkoa alipopata hizo taarifa za uhuni wa mkuu wa wilaya na m/kiti wa CCM wilaya, almanusura awatwange ngumi. Walizozana sana. Hii ilikuwa live ITV
Hawa wote wakiandikishwa kwenye BRV na kuweza kupiga kura itakuwa vyema