funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,975
- 31,506
Mlishaambiwa amkajidai hamuelewiAlienda tanga...akafika wilaya ya lushoto huko pembezoni panaitwa soni na sio lushoto mjini..watu wa lushoto mjini wakahoji kwa nn anaishia soni..wakajibiwa eti atarudi tarehe 10/10/2015.....sasa ni mikutano takribani 3jamaa anawatia ndimu watu...kuna shida gani jamani tuambiwe