Poleni sana UKAWAMkutano umeshindikana kutokana mgombea kushindwa kuwasili uwanjani.watu wameanza kuondoka kwa hasira.
Chopa imeroga waondoke tu
Poleni sana UKAWA
Ni kweli tupo hapa uwanjani ndio tunamsubiri lakini taarifa ni kwamba atakuja tarehe 09, naona technically ni nzuri kwa sababu Magufuli atakuja hapa tarehe 08.... Watu wameondoka kwa amani, wenye hasira ni wachache sana.

pia ratiba ya leo haikuonesha karatu.
Chopa imeroga waondoke tu
Ccm mtaacha lini kuangaika na lowasa leo karatu akafanye nini ratiba ya karatu bado
Mnasingia chopa wakati mzee mwenyewe hajiwezi,mnachekesha nyinyi!
ccm mtaacha lini kuangaika na lowasa leo karatu akafanye nini ratiba ya karatu bado