Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!
 
Watashindana lakini hawatashinda!!!

Daima ukweli haupendi kupuuzwa.
 
ngoja mizimu ya lu
mumba ije...
 
Hakika!
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene
 
CHADEMA ni zaidi ya jina la mtu.

Aibu kwa Zitto na wasaliti wenzake
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

katuni1.png
 
Dr Slaa is my President! Really this courage of going to Kigoma shows really we have a "down to earth" leader!! Achana na magamba na Rais wao aka "Mkiti wa Miss Tanzania" - by Ibrahim Lipumba
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

Nawashukuru Mods la sivyo wewe mzimu wa Lumumba ungenisababishia BAN. Kwani nilijitolea kukupakata na TUNTEMEKE alijitolea kununua K-Y J.
 
kagwa tena kumbe slaa ni coward namna hii kazi ni kuhamasisha wenzake.mods unganishen thread zote za kigoma na mikutano ya slaa
 
Back
Top Bottom