mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,755
Leo kuna mkutano wa mbunge wa kigamboni na wana nchi wa kibada jamaa anazungumzia masuala mengi nilichojifunza.
1. Hakukuwa na nyimbo za komba na ccm hazikuwa zikipigwa tofauti na wabunge wengine wa ccm
2. Watu hawajasombwa na magari, kupewa posho wala mabaloz kugongea watu..
3. Mbunge huyu hakuwa na mavaz ya ccm na wala kulikuwa hakuna sare za ma ccm.
4. Mbunge anajadili masuala ya wananchi na si u ccm.
Wabunge wengine igeni