Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza.

jamani tujuze mkutano ulikuwa unahusu nini??? Na yaliyoongelewa yana manufaa gani kwetu kwa watu wa kigamboni?
 
Mi ntaburudika sana kama nikijua agenda na yaliyotokea katika huo Mkutano. Napenda watu ambao wanazungumza kwa kuacha unazi wa chama na kuangalia maslahi ya wananchi, lakini cha kushangaza kuna wabunge ambao wao hata jambo liwe baya linapokuja suala la chama wao wanakubali tu sasa sijui ni kwamba hawaelewe kwamba wao wanaisimamia serikali na sio kujifanya mawaziri wa serikali.Hii Tabia ipo sana kwa wabunge wa Chama Tawala eti siku wanajiita sio chama cha siasa ila Chama Tawala na sio chama kinachoongoza serikali.
 
Ebu Kigwangala tujuze kuhusu Resolute mmelipwa kiasi gani na hayo mabadiliko unayosema utayaleta ukiwa ndani ya CCM au mahali pengine make naona kama unaota ndoto za mchana. Miaka hamsini imepita na Resoulute wamewaacha solemba wanyamwezi wako halafu unaota kwamba utayaleta mabadiliko. Watu wako wa Lusu wanateseka mpaka leo wengi wamekufa bila fidia halafu unatwambia yapo matumaini ya mabadiliko, labda mkiturudishi zile za Uswiss. Tafakari!!!!!!!!!!

Kaka yangu Dr. Ndugulile ni mbunge mzuri, amefanya jambo jema kuzungumza na watu wake, apongezwe kwa hilo!
Kama imefikia hatua ya kumpongeza mbunge kwa kuongea na wapiga kura wake basi wanasiasa wa ccm ni mbumbumbu kuliko nilivyokuwa nawachukulia
 
mkuu kikubwa zaidi alikuwa akizungumzia kuhusu mji mpya na jinsi wananchi wa kigamboni wanavyotakiwa akuwa makini hasa kutokubali kuuza ardhi kirahisi na pia washirikishwa kwa kina yalijadiliwa mengi bro, ila sina kkipaji cha kuripoti matukio kwani mimi ni anti ccm ila nilijikuta namsikiliza jamaa, kuna watu walikuwa wanarekodi video na nahisi kama ni wanajamvi wanaweza kuweka humu kila mtu asikilize
Mi ntaburudika sana kama nikijua agenda na yaliyotokea katika huo Mkutano. Napenda watu ambao wanazungumza kwa kuacha unazi wa chama na kuangalia maslahi ya wananchi, lakini cha kushangaza kuna wabunge ambao wao hata jambo liwe baya linapokuja suala la chama wao wanakubali tu sasa sijui ni kwamba hawaelewe kwamba wao wanaisimamia serikali na sio kujifanya mawaziri wa serikali.Hii Tabia ipo sana kwa wabunge wa Chama Tawala eti siku wanajiita sio chama cha siasa ila Chama Tawala na sio chama kinachoongoza serikali.
 
ajenda kuu ilikua ni juu ya mipango ya serikali kuhusu ujenzi wa mji mpya na kutaka kuhamisha watu kiholela bila kuwashirikisha na wao kujua manufaa ya mradi huo, mfano kasema mtu kama ana uwezo wa kuwekeza eneo lile hana haja ya kuhamishwa, pia ardhi ya kigamboni thamani yake ni kubwa in aappreciate kila kukicha, na kama ni suala la fidia serikali isipangie watu bei kama mtu anataka kuuza ardhi yake auze in accordance to market price

Kigambon ni sehem yenye thaman sana hapa dar kwa sasa,hao wakaz wakaze tu wajue hatima yao,mataikun wote hapa town wanakimbilia huko
 
Kaka yangu Dr. Ndugulile ni mbunge mzuri, amefanya jambo jema kuzungumza na watu wake, apongezwe kwa hilo!

Sasa Hamis, si na nyie vijana wengine muige anavyofanya Faustine! Mimi naamini kuwa uchawi wa kiongozi kwa wananchi wake ni kushirikiana nao kuyatambua matatizo na ku-implement mbinu za kuyatatua. Ikidhihirika bila shaka, wananchi watawaunga mkono. Tuachane na siasa za kuamini kuwa kila linalotokea kuna mchawi na sio wewe mwenyewe kama kiongozi kuto jua wajibu wako.
 
Chief ndungulile kaonesha tofauti.....ila hata avyojenga hoja bungeni na kufikiria huwa ni tofauti na ma-ccm mengine...
 
[h=2]Re: Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza.[/h]
ajenda kuu ilikua ni juu ya mipango ya serikali kuhusu ujenzi wa mji mpya na kutaka kuhamisha watu kiholela bila kuwashirikisha na wao kujua manufaa ya mradi huo, mfano kasema mtu kama ana uwezo wa kuwekeza eneo lile hana haja ya kuhamishwa, pia ardhi ya kigamboni thamani yake ni kubwa in aappreciate kila kukicha, na kama ni suala la fidia serikali isipangie watu bei kama mtu anataka kuuza ardhi yake auze in accordance to market price

Asante sana Mwita ke mwita kwa kunijulisha haya.
 
Back
Top Bottom