Mkutano wa CHAUMMA Iringa

Mkutano wa CHAUMMA Iringa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,162
Reaction score
48,429
Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi.

Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza.

Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif.

Kama kawaida aliishutumu Kampeni ya No Reforms No Election!

Hapa Salum Mwalimu akihutubia na Hawa ndiyo waliohuduria.
 
View attachment 3409009

ku risk maisha bure kwa kupanda helcopter wakati hakuna kiti watapata as chauma!
 
Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi.

Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza.

Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif.

Kama kawaida aliishutumu Kampeni ya No Reforms No Election!

View attachment 3409009
Hapa Salum Mwalimu akihutubia na Hawa ndiyo waliohuduria.
Chaumma inaimarika kwa kasi
 
Wakinyimwa hivyo viti watafanyaje?
Hawana la kufanya. Hukuona mwaka 2020 Mbatia na NCCR walikuwa wameahidiwa viti na magufuli ili wawe kambi ya upinzani ya mchongo na baadae akaghairi na kuchukuwa wale covid wa CHADEMA? Hawa CHAUMMA hata wakipewa viti itakuwa ni vichache sana kwa sababu kuna kimada mwingine ACT naye anataka apewe viti. Wachache wanaweza kupewa ukuu wa wilaya/mkoa, na teuzi nyingine. wale kina mimi wasio na majina wataishia kusaga lami tu.
 
Mrema hajaiponda CHADEMA kwenye huo mkutano?
Mwamba ana reasoning or thinking capacity ya daraja la chini sana.
 
KILA MTU ana taka keki taifa lenyewe DOGO hili JAMAN tupumzishen bas maisha Magum tunapumzika BADO makelele ya chopa dah
 
Jifunze kuweka picha ukijua bundle la wengi ni la kuunga unga.
 
Back
Top Bottom