Mkutano wa CHADEMA Tunduma Waingia Doa

Mkutano wa CHADEMA Tunduma Waingia Doa

Mtandaoni unaingia tu wewe na mamako? Watu kumbe huwa mnajitafutia kutukanwa bure. Nitume video pia?
20230225_181857.jpg
 
Kuna yule jamaa anaitwa mdudu gani sijui labda wangekua nae huko ingekua afadhali
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Hizo 4k mnazolipwa kama posho zinhetumika kuweka daraja la mbao mto Ruiche watoto wale wanne wasingefariki.
 
We jamaa ni muongo sana, huo mkutano mimi nilikuepo . Watu ni wengi sana. Tunduma wanaipenda sana CHADEMA mpaka wazee.
 
Back
Top Bottom