kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,483
- 7,288
Mama karuhusu jini kutoka kwenye chupa. Atapata shida kuidhibiti chadema. Nchi kwa sasa haina muda na siasa za majukwaani. Cdm watakapoona hawana watu lazima wataanzisha visa. Uongo, uzushi, na kutukana.Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.
Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.
Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo