Mawazo;
Kanda ya ziwa nimeivuruga ccm kote, nimefanya mikutano 400 kwa mwaka katika majimbo 38, na hatafuti utukufu bali kukomboa watu maskini kama mimi ambao wameteswa mateso mengi.....
Weka Picha ya uzinduzi wa kampeni.
Golugwa,
CCM walikuwa hawataki sombetini uchaguzi usifanyike,. sombetini ccm wakitoka na kura 10 watafanya sherehe
Godbless Lema,
Anasema wakati anamshawishi Mawazo aje chadema tulikuwa njiro complex, nikamwambia Mawazo uwezo wako ni mkubwa wa kwenda kuwakomboa watu wa kanda ya ziwa. Nikamwambia Mawazo ajivue udiwani, nikirudishiwa ubunge ada ya chuo kikuu nitakumalizia.
Tukio la soweto Lema alikutwa kajificha kwenye banda la kitimoto pale mianzini, aache kudanganya raia. Akishavuta anaongeaga ujinga sana.Lema;
Maslahi ya mtu kuwa diwani wa chadema ni kupigania utu wa mtu kwanza.
Polisi wasikie, kwamba kama nitachomwa kisu nikafa, na sababu ya kifo hicho ni kwasababu ya kuwatetea akina mama wanaoteswa na kunyanyaswa, hicho kifo nakitaka sasahivi.
CCM hamtatufanya wajinga tena, wametutesa, wametupuuza sana, na wakileta uhuni, na polisi wakishindwa kuwashughulikia tutawashughulikia wenyewe