Mkutano wa chadema soko kuu Arusha

updater

Senior Member
Jan 28, 2013
125
37
Kesho kutakua na mkutano wa cdm (chama cha demokrasia na maendeleo) mkoani Arusha karibu na soko kuu, mambo mengi yayaongelewa pia nakuhusu kuchomwa kw ofisi ya mkoa Arusha. Mbunge lema atakuwepo pia na viongozi wa kitaifa. Peplezzzz......!!!!!
 
Hahahahaha

Huyu jamaa kituko sana.

Kila siku mikutano tu. Yaani kaunguza ofisi ili apate sababu ya kuitisha mkutano!
 
Wajinga wajinga wote wanaamini chadema ndo chama kizuri hapa Tanzania!Fanyeni kazi nyie vijana msiwe kama mazombi!!!
 
Hahahahaha

Huyu jamaa kituko sana.

Kila siku mikutano tu. Yaani kaunguza ofisi ili apate sababu ya kuitisha mkutano!
Ameitisha mkutano ili achangishe pesa za kuikarabati ofisi aliyoichoma mwenyewe,anategemea chenji itabaki ili aipige,si unajua tena deal yake ya wizi wa magari na tanzanite siku hizi imebuma?
 
Eti hujuma mchome ofisi yenu mseme mmehujumiwa na bado hakuna mchawi hapo
 
Janja ya kuchoma ofisi wamekopi kwa ngul wa dunia alyeitawala dunia kwa dk5
 
Back
Top Bottom