Kipya Kinyemi
Member
- Aug 26, 2012
- 14
- 1
Mkutano una watu 20 kwa mara nyingine tena Chadema Chali.
kIHELEHELE CHA KINA LUSINGU NA LUKOSI WOTE CHINI.WAMEFELI WAMEPATA WATU 20.KAJIPANGENI TENA.HADANGANYWI MTU.POLE CHRIS LUKOSI.WANAONA HAYA HATA KUWEKA PICHA ZAO.
LUSINGU KABEBEE MABOKSI SIASA HUWEZI.
Umbea haulipi JF, jaribu kuupeleka kwa ShigongokIHELEHELE CHA KINA LUSINGU NA LUKOSI WOTE CHINI.WAMEFELI WAMEPATA WATU 20.KAJIPANGENI TENA.HADANGANYWI MTU.POLE CHRIS LUKOSI.WANAONA HAYA HATA KUWEKA PICHA ZAO.
LUSINGU KABEBEE MABOKSI SIASA HUWEZI.
Tutawarushia video ambayo Kama mwigulu akiiona atajuta kwa nini alivalisha mbwa bendera ya Chadema
naona watu zaidi ya 25AUDIFACE JACKSON BLOGSPOT: Matukio Mbali Mbali Mkutano Wa Chadema Reading
nina wasiwasi na hesabu zako mkuu!!
naona watu zaidi ya 25
Let's put things into perspective. Watu (watanzania) 20 kwa London ni wengi sana. Tukumbuke wengi wa watanzania walio majuu ni watoto wa vigogo au watu wana maslahi na 'mfumo'. Pia kwa London kuna watanzania wengi toka Pemba -automatically watakuwa wafuasi wa CUF.
Na hao 20,kati yao WACHAGA 18.