Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Mbowe yupo Mbeya kukusanya maoni ya katiba mpya. Hivi sasa jukwaani yupo lisu anasema kama Dsm wangefanya japo nusu ya waliyo fanya watu wa MBEYA basi nchi hii ingekuwa mbali sana.
Weka picha mkuu
Anakusanya maoni ili ayapeleke wapi?
Mama yako si ndio anayeyapokeaAnakusanya maoni ili ayapeleke wapi?
kwenye tume ya katiba mwisho tar. 31.8 mwaka huu
Nilijua tu majibu kama haya hayatakosekana.Mama yako si ndio anayeyapokea
unauliza majibu?Lakini Warioba kasema wakusanye kutoka kwa wanachama wao.
Je, hao waliokusanyika hapo ni wanachama wao?
Lakini Warioba kasema wakusanye kutoka kwa wanachama wao.
Je, hao waliokusanyika hapo ni wanachama wao?
Lakini Warioba kasema wakusanye kutoka kwa wanachama wao.
Je, hao waliokusanyika hapo ni wanachama wao?
sasa ni wanachama wa nani?Lakini Warioba kasema wakusanye kutoka kwa wanachama wao.
Je, hao waliokusanyika hapo ni wanachama wao?