Mkutano unaendelea hapa ukiongozwa na waziri mkuu wa mbeya mwenye mvuto kuliko pinda john david mwambigija na baadhi ya watia nia ya ubunge!!View attachment 242287View attachment 242288View attachment 242289

Hiyo ndiyo CHADEMA isiyohitaji wasanii wa kuvua nguo jukwaani ...
Cc.Chabruma.faizafoxy.musakinyesikwa pembeni naona kuna malori na mafuso kibao yametoka au siyo yenyewe.....hiki chama kwa kubeba watu na malori hakijambo itabidi kova apige marufuku kabisa ....haiwezekani watu wajae hivi bila kuletwa na malori na mafuso au kuwepo fisi naomba polisi wawakamate waliondaa huu mkutano hasa huyo mwambiligi watu hawaogopi hata alshabab wanajazana tuuuu....kova onyesha kiwango chako na uwezo wako katika hili tukomeshe hii tabia ya watu kujaaa kwenye mikutano namna hiiii