Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Hongera sana Mbeya! Tunawapenda.
Ndo Laha Ya Chadema Ila Isiwe Nvua Ya Msimu Hii Iwe Mpelampela Mpaka Mwez Wa 10 Hapo Ndo TunapumzikaMkutano unaendelea hapa ukiongozwa na waziri mkuu wa mbeya mwenye mvuto kuliko pinda john david mwambigija na baadhi ya watia nia ya ubunge!!View attachment 242287View attachment 242288View attachment 242289
nilishawahi kusema humu hata wewe useme leo kutakua na mkutano wa chadema watu watajaa tu