GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Well done, haya ndio niliyokuwa nayasema na ww sasa wayasema, CDM wamemuua huyu kijana ila kupata umaarufu wa kisiasa , na sasa mwataka kutumia msiba kama forum ya kisiasa, nashukuruku kwa kunielewaIkiwa mkutano umehairishwa kwasababu ya msiba,.. ita "hold water" zaidi lakini kupisha zoezi la sensa..Mhh hapana!!...
Damu ya Ally Zona imemwagika katika mazingira ya harakati za kupigania utu na demokrasia katika ardhi ya MAIGIZO ya Demokrasia na haki...Kitendo cha kuipuuza na kuendelea na operation kitatoa picha ya tofauti juu ya lengo hasa la Operation M4C!!..
Ikiwa CDM watapostpon ziara ya Iringa hata kwa wiki zaidi,..ntaendelea kuwaamini zaidi.Maana ninaujua umuhimu wa kujenga Imani hapa Morogoro miongoni mwa mioyo ya watu hapa,..Kwanza hii ilikua ngome imara ya CCM kwa wakati wote (kabla ya mwezi uliopita)..Wakati Iringa Imeshakombolewa ni sehemu ndogo tu imebakia,.ambayo hata Rev Msigwa na Abwao wanaweza kumalizia,.Tusiwe na haraka huku tukiacha hawa wenzetu tuliotoka kuwakomboa wakiwa njia panda!!..
Makamanda naomba Tubaki hapa Moro,.Tuwape Moyo wa Kusonga mbele na utayari wa kupigania haki hata kwa damu yetu wenyewe...Tuwaondoe woga, wachache wanaonesha hali ya kutaka kukata tamaa,.Tuwashike mkono twende nao!!
Endelea na ndoto za alinachaNi ndoto za mchana kwa CDM kuingia ikulu sio tu 2015 hata 3000, haipo . Na usidhanie kuingia ikulu ni kwa kile kikaratasi chhako unacho tumbukiza kwenye boksi, ni zaidi ya hapo, sasa utatumia njia gani km hiyo itashindwa? CDM ni sawa na kuku wa kuchora, hadonoi, hali, hawiki na hafai kwa nyama wala mayai
Sheria ya Epa na Benki za uswisi.CCM ni watu wakufuata sheria na wanajua sheria, ila wenzetu ni watu wakutumia nguvu na kuacha sheria, ndio maana wao hawauliwi kwani hawafanyi fujo. Hakuna maandamano bila kibali, sasa kibali mlikuwa nacho? na mliambiwa msiandamane ila mkalazimisha, huko sio kumwaga damu kwa dhamira za uchu wa madaraka?
Kwa hiyo umeua ila mwende msibani kujipatia umaarufu ? maandiko matakatifu yanasema alaaniwe yule anae fanya msiba kuwa ni sehemu yakujitafutia umaarufuHata polisi wasipoingilia kati CDM iko msibani. Iringa M4C inasimama!.... HUU NI MSIBA MKUBWA SAANA KWA CDM!.
Unatumia masaburi kufikiri!Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM
Mada inasemaje ? tutumie vichwa vyetu kufikiri na si kufuga nywele (AG)Sheria ya Epa na Benki za uswisi.
Kwi kwi kwi CDM mkiishiwa hoja hukimbilia maneno hayoUnatumia masaburi kufikiri!
unavyosema hivyo huyo ally kawawa na police ama cdm? Acha unafiki
Anaitwa MasaburiBrain..Wewe ni crazyBrain!
Unataka kutuambia uhuru wa mipaka ni kuzuia maandamano ya CHADEMA lakini maandamano ya CCM ruksa!
Hivi for your tiny and small Brain, unafikiri Watanzania wote ni wapuuzi na wajinga kama wewe? Sahau! Watanzania wanajua wanachokifanya na kwa taarifa yako tu jinsi Policcm wanavyoendelea kuua na kujaribu kuzuia maandamano ya wapinzani hususan CHADEMA ujue tu CCM wanaendelea KUSAFISHA NJIA YA CHADEMA KUINGIA IKULU 2015!
Wewe subiri 2015 utaelewa ninachomaanisha.
Huyu jamaa inabidi achunguzwe anaongea kama wale makaburu wabaya wa Afrika kusini.Mbona liko wazi, ameuliwa na CDM wenyewe kwa kujua sheria na kutofuata sheria ya maandamano. Na mmefanya hivyo ili mwende msibani mkatafute umaarufu wa siasa (watoto wa mjini wanasema kuuza sura)
Huyu jamaa inabidi achunguzwe anaonge kama wale makaburu wabaya wa Afrika kusini.
Kwa hiyo umeua ila mwende msibani kujipatia umaarufu ? maandiko matakatifu yanasema alaaniwe yule anae fanya msiba kuwa ni sehemu yakujitafutia umaarufu
He he heeeeee ndio wanachama wa CDM hawa ambao ndio wanaitaka nchi hii hata kwa kumwaga damuAnaitwa MasaburiBrain..
Mipaka ya chama kimoja? Hata makaburu walikuwa wanadai wana democrasia.Nyerere alisema 'demokrasia bila mipaka ni sawa sawa na wendawazimu'.
Alama za mtu mnafiki ni tatu. 1, anapo aminiwa hufanywa hiana, 2. Anapo ahidi hushindwa kutimiza ahadi, 3. Na anapo ongea husema uwongo. Hizi sifa zote CDM wanazomaandiko matakatifu yanasemaje juu ya wanafiki na wauaji?
Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM