Ishina 16:54 Today
Nipo hapa kata ya Goba, Mhe. Mnyika anaingia hapa Kwa kutumabarua ya uchumba!! Au??????? Si ndiyo hivyo??
kazi kumbe bado pevu nina amini leo maghembe atapanga kurudi tena 2mr mana mnyika kwa hoja dah!
Huna akili.Mkuu funguka maana ulichoandika hueleweki unataka kusema nini?
isifike tu hatua ambapo cdm ndio watageuzwa wazuiaji badala ya washambuliaji. Washambulie na kuzuiaKwa sasa Mhe. Mnyika, Mbunge wa Ubungo ndo kaingia sasa, na msafara wake wote wanatumia magari aina ya Vitz. Ben saa8 yupo hapa kwa ajili ya kuondoa sumu ya masalia (Mwampamba na Shonza) iliyomwagwa wiki iliyopita. Kuna nyomi ya kutosha!
Ntajitahidi kuwapa updates zaidi