kikubwa wakasome yeye na mwenyekiti wetu! kweli ni watu makin na wawajibikaji lkn elimu ya cheti nayo mhim!!!
Wenye hivyo vyeti wamefanya nini cha maana mpaka sasa hata kutuaminisha kuwa elimu ya cheti ni lazima? Cheti ni karatasi tu elimu ya muhimu ni ile inayoweza badili maisha ya watu maana elimu iliwekwa rasmi ili mwanadamu aweze kuyamudu mazingira yake.....I hate tabia ya kuhusudu vyeti ambavyo kwanza vimejaa usanii mkubwa na ndiyo sababu maisha ya watanzania yapo duni mpaka leo.
Kwangu mimi Mnyika is far better kielimu kuliko wengi wenye vyeti ambavyo kihalisia haviendani na matendo yao...