mkutano wa chadema kata ya elerai

Lema:
Taarifa za muda huu kutoka kwenye Mkuano wa ccm matejo wamehudhuria watu sita tu na umeshindikana kuendelea.
Ndg zangu mimi naiheshimu sana kata ya Elerai, kwasababu ilikuwa kata pili kwakunipa kura nyingi 2010.
Ndg zangu kuna vyama viwili vidogo hapa Arusha, ambavyo ni ccm na cuf. Hivyo vyama ni wanandoa, ila sisemi nani mke na nani mume.
Hivyo vyama vimesimamisha wagombea. Chadema wamesimamisha diwani, ndiyo maana kila wakipita mahali badala ya kutangaza sera wimbo wao ni lema lema lema lema.
Hakuna wanachokizungumza

Mkuu Mungi umeniua mbavu! Sita tuu? hao nao wamehudhuria au walikuwa wanapita tuu waakaamua kusikilizaa? vipi safari hii hakuna ubwabwa kofia,n.k??
 
lema anasema kikwete ni mnafiki ndiyo maana aliwatumia waislam na baada kumfisha ikulu amewageuki maaskofu..
 
balozi aliehamia na watu 20 anaitwa clistopher mollel alikuwa balozi kwa miaka kumi na moja...
 
Back
Top Bottom