Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Maccm akili imewaishia kweli nyie ndo wale ambao nyerere alisema mkiona hawa muwakatae
Mmeishiwa sera hadi mnafanya vituko hivyo?
Hata kama mnamuhitaji zitto wenu kwa nini msimchukue kwa amani badala ya shari?
mafisadi nyie wauza unga migodi mnabadilishana na vyandarua na suti
Tz tusipokubali ukweli tutakuwa maskini wa kutupwa
Wakenya wameshajitambua wanyaruanda n.k
Sisi tumebakia hoe hai
ivi mtu kwa nini usijiulize maswali mazuri tuu
Kwa nini umwone mtanzania mwenzako anapata shida kunyanyasika na wewe unafurahia?
Wewe unapewa book 7 kwa sababu ya kuisifia ccm ila wenzako wanakufa watz wenzako wanakatishwa maisha kwa sababu ya kukosa huduma muhimu
 
Mabango yote yameandikwa kwa hati inayofanana. Aibu!! Nendeni mkajipange upya na jaribu kubadilisha mwandiko kidogo ikiwezekana mwandishi atumie hata mkono wa kushoto kuandika ili kuwe na tofauti kidogo. Lol
 
kime stink mbaya
mtei baba mwenye nyumba
mbowe mtoto wa mwenye nyumba
slaa mpangaji
lissu mchumia tumbo ha ha ha
lema ni nani??

Lema choko tu hajielewi....anatumiwa tuu mwisho wa cku na ye atapgwa chini.....Halaaa ZZK
 
Kama mpo makini mtagundua kwamba hand writing ya hayo mabango yote ni moja. This means kwamba hawa vijana wanatumiwa tu. Ni aibu sana kwa kweli, siamini kama haya anayafanya Zitto. Kwa hakika hii inaweza kuwa ni kazi ya CCM. Ni wazi kwamba CCM wameamua kutake advantage ya vurugu zilizomo ndani ya CHADEMA. Lakini hakuna chama kilichofanikiwa kuchukua dola bila ya kupitia haya. Hata masimulizi ya akina Madiba juu ya ANC yanaonyesha walipitia haya yote. Kama wanachadema tusimame imara kuhakikisha dhuluma haiishindi haki.
 
Mafisadi wanatembelea magari ya kifahari
wanaishi maisha mazuri, wanaenda kutibiwa nje ya nchi wewe unabaki hapa na book 7
Kilichonifurahisha jana ni ile thread ya mama Tibaijuka ukisoma vizuri utakuta
Wengi walichangia ni watu wanaoshabikia maccm ila jana niliwaona watu wale wale
Wanamwambia mama Tibaijuka ufisadi mliona nyie hamwezi kuwa kama Mzee wetu Neslon Mandela
RIP tata wetu
Tusikubali kutumika tutabaki kufiana wenyewe kwa wenyewe na wao wana peta
Hawa viongozi huwa wanakaa chini wanatucheka sana
Maana hawaamini kama watu wale waliowapa kura 5 years ago alafu hawakufanyiwa lolote
Leo wameenda na kanga wakapewa kura tena for another 5 years this is rubbish
 

Kwani Chadema wakiandamana huwa wanatumiwa na nani?
 
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).

MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie


Moja ya bango Mkutano wa slaa kasulu kabla haujavunjika

kadi za CHADEMA zikiteketezwa kwa Moto
 
Kwani siku 14 azijatimia tu ili huyo mnafiki afukuzwe ?
 
Njaa mbaya sana.

Tiba
Nimekuwa nikiandika hapa siku zote kuwa enzi za peoples' power zilikwishakupita hizi ni enzi za money power na watu walikuwa wananibeza humu; zzk kachagua pesa peoples' power inazama
 
Nimeipenda pale aliposema wangapi wanataka mkutano uendelee? Watu mikono juu. Hiyo ndo demokrasia. Kweli nimeamini Slaa PhD yake si ya ku copy na ku paste. Bravo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…