Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Nilikuwa nisafiri kwenda huko mkutanoni kwa muheshimiwa huyo kwa lengo la kwenda kushuhudia muitikio wa wananchi na nyomi itakayojaza mkutano huo kujua kama huyo mheshimiwa bado ana ushawishi mkubwa jimboni kwake singida mashariki. Kuna mengi ya kuandika kwa mahudhurio ya watu wengi kwenye mkutano huo
Andika tu Baba
 
kwa hiyo Mwenyekiti wenu anafanya maridhiano na wafu ?


zamani tulikuwa tunaamini sana kumbe weupe tu

1) Mlimsakama sana Mzee Ngoyai mkaishia kumteua kuwa Mgombea Urais

2) Mlitishia maandamano mkaishia kuandamana vyumbani kwenu

3) Mlitishia kufanya mikutano ya hadhara bila ya kibali mkaingia chini ya sakafu kujificha

4) Mlitishia Kamanda wa Anga akikamatwa mtakiwasha hadi kieleweke akawaamini akajichanganya akasombwa …mkahamishia Tweeter harakati zenu

sasa hivi nawaelewa wale Wazee wanaosema acha ACT waendelee Znz na 'hawa jamaa' waendelee bara maana wote tunajua 'dawa' gani inashusha kwa haraka homa zao
Siasa haiitaji hasira mkuu ..wenzio Leo wakaona isiwe tabu wakaenda kwenye mkutano wa mhe Lissu na kuususa mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa ccm... Kunywa maji ya baridi upunguze hasira [emoji12][emoji12]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Unaamini habari za uongo??
Huu ni uongo??? Au wee ni Tomaso ?
FB_IMG_16756034926820885.jpg


Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna chama kimejaa wajinga kama chadema!!?? nyie ndio mnaostahili kujadili UGANGA.
 
Watu wa ikungi huwaambii kitu zaidi ya lissu. Yule mbunge wao yupoyupo tu kikatiba ila mioyoni mwa wana ikungi hayupo. Ni dhahiri hata akifanya mkutano singida mjini, mji mzima utarindima na watu watajaa uwanja wa bombardier. Lissu bado sana kuchuja kisiasa tofauti na hayati mrema alivyochuja na kukosa hamasa. Sasa hivi media nyingi za nyumbani zinapenda kufanya mahojiano naye tangu arudi nchini. Yaani huyo mheheshimiwa impalse yake kwa wananchi bado iko juu
Tuliambiwa vigogo wa CHADEMA wangekuwepo. Mwenye chama alikuwepo? Au ndo ule mfarakano?
 
Mkutano wa ccm hapa ikungi umevulugika baada ya wana ccm kuamua kuukacha na kuelekea uliko mkutano wa mhe Lissu .. mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa ccm [emoji28][emoji28][emoji28] picha hiyo hapo wakielekea mkutanoni View attachment 2507381

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app

Ccm inapendwa zaidi na wazee na wajinga wachumia tumbo,mwenye kujitambua hawezi kuwa ccm
 
Bila JW,POLICE, PCCB,TISS DPP,PRISON, TUME YA UCHAGUZI, MSAJIRI WA VYAMA
Yaani Ccm Ni Wepesi Kama Mlenda Wa Tabora Ukila Unajisaidia Hapo Hapo

Huu ndio ukweli mchungu,ccm imekataliwa na wananchi imebaki kutumia vyombo vya dola,yana mwisho wake.
 
Back
Top Bottom