Andika tu BabaNilikuwa nisafiri kwenda huko mkutanoni kwa muheshimiwa huyo kwa lengo la kwenda kushuhudia muitikio wa wananchi na nyomi itakayojaza mkutano huo kujua kama huyo mheshimiwa bado ana ushawishi mkubwa jimboni kwake singida mashariki. Kuna mengi ya kuandika kwa mahudhurio ya watu wengi kwenye mkutano huo