Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Wamemaliza sasa ulitaka waishi hapo kama wale wapuuzi


USSR
Umevugika haujamalizika , wamekuja kumsikiliza mbunge wao wa mioyo yao , Rais wa mioyo yao na msingida mwenzao baada ya kukaa uhamishoni kwa Miaka 7 ... Embu angalia hii nyomi ya mkutano wa mhe Lissu
FB_IMG_16756068591144304.jpg


Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Wamemaliza sasa ulitaka waishi hapo kama wale wapuuzi


USSR
Ubishi mwingine ni kufurahisha tu nafsi. Ikungi, kwa uchaguzi wowote ule, CCM haipati ushindi.

Wale TWAWEZA walikuwa sahihi sana kusema kuwa CCM inaungwa mkono zaidi na watu wasio na elimu na watu wa vijijini. Na hilo linaonekana wazi kwenye uchaguzi ule wa 2015. Miji na majiji karibia yote yalitwaliwa na upinzani. CCM walishinda zaidi majimbo ya vijijini. Huo ndio ukweli. Lakini ukiamua kuwa mbishi kwaajili ya kuifurahishia nafsi yao, upo huru.

Ikungi CCM haipo. Ndiyo maana Muro alishindwa kuiongoza Ikungi, akaamua kuwafanyia uharamia wananchi.
 
Loooh! Aibu naona mimi.

Tukiwaambia ccm imekufa muwe mnaelewa.
kwa hiyo Mwenyekiti wenu anafanya maridhiano na wafu ?


zamani tulikuwa tunaamini sana kumbe weupe tu

1) Mlimsakama sana Mzee Ngoyai mkaishia kumteua kuwa Mgombea Urais

2) Mlitishia maandamano mkaishia kuandamana vyumbani kwenu

3) Mlitishia kufanya mikutano ya hadhara bila ya kibali mkaingia chini ya sakafu kujificha

4) Mlitishia Kamanda wa Anga akikamatwa mtakiwasha hadi kieleweke akawaamini akajichanganya akasombwa …mkahamishia Tweeter harakati zenu

sasa hivi nawaelewa wale Wazee wanaosema acha ACT waendelee Znz na 'hawa jamaa' waendelee bara maana wote tunajua 'dawa' gani inashusha kwa haraka homa zao
 
Mkutano wa ccm hapa ikungi umevulugika baada ya wana ccm kuamua kuukacha na kuelekea uliko mkutano wa mhe Lissu .. mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa ccm [emoji28][emoji28][emoji28] picha hiyo hapo wakielekea mkutanoni View attachment 2507381

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
😅😅😅ungeendeleaje kwa mfano? Hicho kimbunga kimetetemesha Nchi nzima epicentre ikiwa Ikungi
 
Back
Top Bottom