Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
- Thread starter
- #21
Nawajua, si ndio kile chama kilichoifikisha nchi hapa ilipo kwa ulafi wa mali za umma?hivi unawajua ccm wewe au unawasikia tu? kaa mbali kwa usalama wako.
Nawajua, si ndio kile chama kilichoifikisha nchi hapa ilipo kwa ulafi wa mali za umma?hivi unawajua ccm wewe au unawasikia tu? kaa mbali kwa usalama wako.
Tumia akili japo kidogo! Yaani ulinganishe Chama Tawala na Vyama vidogo hivi? Acha utani ndugu tangu!Jeshi la police linajishushia heshima kwa kutoa kauli zenye utata, double standard. ni woga na wala sio upendeleo kwa ccm
Tumia akili japo kidogo! Yaani ulinganishe Chama Tawala na Vyama vidogo hivi? Acha utani ndugu tangu!