Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.
IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.
Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.
Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.