Mkutano wa CCM uzuiwe ili kuepusha uvunjifu wa amani

Chifu Nsyepa

Senior Member
Jul 9, 2016
106
98
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
 
mkuu,mbona inaelekea hufuatilii vyombo vya habari? huu uzi wako naona umechelewa.mkutano wa ccm utafanyika bila kikwazo chochote, bavicha wameshatoa tamko kuwa hawatakwenda dodoma.
 
Mkuu wangu linapokuja suala la ccm intelijensia huwa inapoteza fahamu ila suala likishamalizika fahamu zinawarudia...isitoshe nadhani uliona vijana wa kazi na vifaa vyao walivomwagwa dodoma...Mkuu mkutano upo pale pale lije jua ije mvua...ccm ni chama dola..
 
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Karibu Dodoma
 
Wewe Chifu Nsyepa hutafanikiwa lolote ktk uchochezi wako. Kwa taarifa ya Mkutano utafanyika na JPM atalamba chako .
 
mkuu,mbona inaelekea hufuatilii vyombo vya habari? huu uzi wako naona umechelewa.mkutano wa ccm utafanyika bila kikwazo chochote, bavicha wameshatoa tamko kuwa hawatakwenda dodoma.
Labda ni vice versa kuhusu ufuatiliaji wa yombo vya habari, BAVICHA wameongea jana kuwa wana plan B ya kuuzuia mkutano huo, yote na yote najua Jeshi la CCM litahakikisha mkutano huo unafanyika kuwe na. viashiria vya fujo kusiwe navyo, CCM ipo juu ya sheria.
 
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Siipendi CCM but sioni sababu ya msingi ya kikao kuzuiliwa, acha kikao kifanyike JPM apewe rungu awanyooshe na kuwatumbua. Kuchelewa kumkabidhi chama ni kuhalalisha uozo uliopo ndani ya CCM. Naamini akipewa chama atarudisha mali zetu mfano viwanja vya umma kama CCM kirumba, Sheikh Amri Abeid Arusha, Ally Hassan Mwinyi Tabora na vingine vingi. Huu ni mtizamo wangu tusitafutane....
 
King Sammy: sidhani kama Jpm atarudisha Mali zetu, anachoongea kwa baadhi ya mambo ni tofauti na atendacho, na suala si kuzuia Jpm asikabidhiwe rungu bali mkutano huo usipofanyika hadhi na imani kwa jeshi la Polisi havitoathirika salamander.
 
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
Tutajie viashiria unavyoona, usidanhanye umma
 
BAVICHA baada ya kutakiwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe wasiende Dodoma jana tu wamedai hawatokubali kuachia ubinywaji wa demokrasia unaoendelea na kuwa wana plan B ya kuhakikisha wanazuia mkutano huo.
 
Sina hakika kama bavicha wana uwezo huo, wao wanapigana vita ya keyboards tu ambayo ni passive siyo active, July 23 itapita kama ilivyo pita July 12 2015 alipikatwa mtu, ikapita uchaguzi 25 October 2015, ikapita kuhapa 5 November 2015, ikapita 10 November akahutubia bunge, na vyote waliswma havitafanyika lakin wapi,itapita pia hiyo July 23 kawaida tu
 
Kutokana na viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea kujitokeza IGP Mangu hana budi bali kuuzuia mkutano wa CCM uliopangwa kufanyika Dodoma tarehe 23.

IGP Mangu hivi karibuni ameaema jeshi lake halikipendelei Chama tawala bali wao huzuia mikutano ya wapinzani kwa kuwa wanakuwa wamepata taarifa za ki intelijensia kuwa kuna uvunjifu wa amani utatokea iwapo mkutano husika utafanyika.

Nionavyo ni kuwa bila taarifa za ki intelijensia mkutano wa CCM ni vema usifanyike maana BAVICHA wameazimia kuuzuia mkutano huo, huku UvCCM nao wakijipanga kuhakikisha mkutano Na huo unafanyika bila taabu.

Hivyo basi kutokana na sababu alizotoa IGP basi ni wazi vurugu zitatokea mkutano huo ukifanyika.
hivi unawajua ccm wewe au unawasikia tu? kaa mbali kwa usalama wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom