msema kweli 02
Member
- Oct 26, 2013
- 14
- 2
Chama cha mapinduzi kimeandaa mkutano mkubwa wa wananchi katika uwanja wa kilombero jijini hapa.inasemekana kua viongozi mbalimbali watakuwepo akiwemo mwenyekiti wa vijana mkoa mh ROBISON LABAN pamoja na m/kiti wilaya
Source ccm Arusha
acha uongo ! HAKUNA CCM ARUSHA .
Yap nadhani wa kesho utafunika
Mtaswali mapema baada ya hapo nikasikilize sera tumechoka matusi ya akina lema na Chadema yao kila siku
Mara yamwisho kwenda mkutano wa hadhara ni sikuile slaa alisema nchi haitatawalika tena pale NMC nakufa wa watatu tangusiku hiyo niligoma kutolewa kafara na wachaga
we kombolela,page moja coments 8 na huna hoja,pumzika basi
acha unafiki ww,,, ccm hakuna arusha sana 2 labda mtaenda kubeba watu toka monduli na babati ili muweze kupoteza mdaa kidogo na kuongea pumba kama enzi zile nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya ccm oyeeeeeeeee