Marais wa dola mbili nguli wa siasa, uchumi na biashara, ulinzi na usalama; wenye nguvu za turufu duniani wamekutana kujadili mustakabali wa diplomasia baina yao zikiwemo agenda za mnyororo wa ugavi (biashara), hatima ya Taiwan, Olympics Beijing, muingiliano wa ki-uhamiaji, haki za binadamu, hali ya hewa duniani kufuatia COP26 Climate Summit in Glasgow, Scotland. Mkutano huo ulifanyika Jumatatu usiku 15 Novemba, 2021 kwa njia ya mtandao (virtual meeting).
Aidha, mkutano huo ulitazamiwa kurekebisha dosari za kidiplomasia zilizojiri wakati wa utawala wa Republican kupitia Rais Mstaafu Donald Trump dhidi ya Mamlaka ya Beijing hususan kwenye tasnia za biashara, afya (mlipuko wa kirusi cha Corona), upendeleo wa WHO kwa China dhidi ya US kwa habari ya Covid-19 nk. Dunia ilitega masikio kutaka kujuwa mustakabali wake wanapokutana mafahari hawa wawili.
Mataifa haya yana ushindani mkali wa kimaendeleo licha ya tofauti kubwa sana ya umri wao wa miaka 173 (zaidi ya karne moja na nusu) US miaka 245 na China miaka 72 (yaani China ilipata uhuru US ikiwa tayari ina miaka 173 ya uhuru), ambapo China imejituma kwa spidi kali hadi kuifikia US kimaendeleo. Bila shaka dunia inalo la kujifunza kwa China.
The US and Chinese leaders have held a lengthy virtual meeting on Tuesday, with Joe Biden and Xi Jinping expressing readiness to improve strained bilateral relations and make sure competition doesn’t end in conflict.
Ni ujinga Tu wa kutokujua naona China alikuwa na nguvu toka 1200 ndiye alikuwa na Dola kubwa eneo ya Asia nzima huu mradi WA belt road ulikuwa kwenye vitabu vyao toka miaka iyoo sema haukutekelezeka China imepitia vipindi vingi vya kiutawala
The government of China considers October 1, 1949, as the date the country gained independence. This marks the date on which the People's Republic of China was established.

www.reference.com
Nota Bene 1. That is the time from which Chinese sovereignty is counted. So go ask your Madrasa Teacher to calculate for you this simple arithmetic 2021 - 1949 (if he gives you the answer that is not 72 then abandon that religion)
2. Do you have any proof to establish that Mtume wako had at least a diploma (let alone a degree) in History? Avoid being irrational in the teachings of Madrasa. Mzee Mwinyi and Dr . Omar Ali Juma used to insist on the need of your religion community (theirs also) to pursue #elimudunia.

Dola ya Kikomunisti ya sasa nchinu Uchina ilizaliwa mwaka 1949,
Lakini taifa la Uchina lilizaliwa miaka 6000 iliyopita, moja mataifa kongwe duniani,
Nchi ya Uchina imekuwa na madola tofauti yenye nguvu duniani kwa kipindi cha miaka tofauti tofauti.