Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Sala zenu zinahitajika watanzania
attachment.php

attachment.php


============================== =====

Updates

11838555_386119854913952_2229128010245282346_o.jpg
Mbowe-Tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba sis tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari.

Mbowe-Chama hiki hatukiendeshi kwa siri, tunakiendesha kwa mikakati.

Mbowe-Tulilazimika kutumia kila mbinu halali ambayo inakiwezesha chama chetu kusaka matumaini na matarajio ya wananchi.

Mbowe-Tuliridhika pasipo shaka kwamba ugeni wa Edward Lowassa katika chama chetu ni mpango wa Mungu.

Mbowe-Umoja wetu ndio ushindi, fursa iliyojitokeza ni nadra.

Mbowe-Mtikisiko huu umekuja kwa CCM kipindi ambacho Watanzania wanamatamanio ya mabadiliko

Mbowe-Hatuwezi kuwa chama cha kuendelea kuhubiri mabaya ya jana tukashindwa kuhubiri maendeleo ya kesho

Mbowe- Kipigo wanachopata CCM, hawajawahi kukipata tangu tuanze siasa za vyama vingi

Mbowe-Kila tunayeweza kumpokea kutoka vyama vilivyo nje ya UKAWA tutamchukua

Mbowe-Mungu ameamua kutumia chama chetu kujeruhi na kuangusha CCM.

Mbowe-CHADEMA ni chama cha siasa, ni chama makini, chama makinI ni chama cha watu, chama kisichokuwa makini ni chama cha viongozi.

 

Attachments

  • 11825867_894285133952134_6847320326544335608_n.jpg
    11825867_894285133952134_6847320326544335608_n.jpg
    55.4 KB · Views: 125,085
  • 11011569_894285180618796_3135540375877767017_n.jpg
    11011569_894285180618796_3135540375877767017_n.jpg
    9.1 KB · Views: 9,761
  • 11822332_894285227285458_674318579078359611_n.jpg
    11822332_894285227285458_674318579078359611_n.jpg
    59.4 KB · Views: 55,791
  • 11822764_386120228247248_7723575338341037588_n.jpg
    11822764_386120228247248_7723575338341037588_n.jpg
    38.5 KB · Views: 8,739
  • 11825600_386111984914739_2411113025909127720_n.jpg
    11825600_386111984914739_2411113025909127720_n.jpg
    58 KB · Views: 7,170
  • 11825873_386111944914743_8869541588681525067_n.jpg
    11825873_386111944914743_8869541588681525067_n.jpg
    67 KB · Views: 7,020
  • 11828718_386111941581410_1907164532637209043_n.jpg
    11828718_386111941581410_1907164532637209043_n.jpg
    63.3 KB · Views: 7,240
Last edited by a moderator:
Sala za nini tena wakati watu wanafanya maamuzi kwa utashi wao
Ni kawaida mkuu, hata Papa anafanya kwa utashi wake lkn tunaamini anaongozwa na roho mtakatifu na tunamwombea. CCM ilikuwa na Ilani yake mwaka 2010 lakini kila siku tualiimba kuwaombea viongozi wa taifa. Bunge lina kanuni zake lakini bado kabla ya kuanza wanamwomba Mungu. Si ajabu hata kikao hiki muhimu kwa watanzania wapenda nchi kuombwa wamwombe mola afanikishe.
 
Watanzania hawawaombei wanafiki, waongo, walaghai na wazandiki ambao wako tayari kuuza utu wa mtanzania kwa pesa chafu za mafisadi, ambao wameonesha wako tayari kukiuka misingi yao waliyojiwekea kwa tamaa za watu wachache wealiohongwa na mafisadi.

Watanzania pia hawako tayari kupoteza muda wao kuwaombea watu wasiotabirika na kueleweka kama wako upande gani Mungu au Shetani.
 
Eee Mungu tuongoze vyema katika kipindi hiki kigumu cha kukoka moto kutoa moshi mweupe uiangaze Tanzania yetu kuondoa makunyazi, vigingi vya maendeleo yaliyozimwa na wanaojinadi maisha bora kwa kila mtanzania, utuletee mtakatifu , utuondolee mtakavitu. Amina.
 
Back
Top Bottom