Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

Hahahahahah siasa za Tanzania zimefika kubaya sana ...
attachment.php
 
Kumbe mambo yanaenda bila dr!! basi chapeni kazi atawakuta mkimalizia msihofu. Naibu katibu mkuu yupo tusonge mbele hata akisusa hakuna kurudi nyuma mbele kwaa mbele hii ni vita tukikubali kuvutwa shati tutamalizwa. Chadema na watanzania Slaa na Mshumbusi wake.
 
better ajitoe mapema ili Watanzania waweze ku-concentrate na kazi moja tu ya kuing'oa CCM madarakani ...
 
Watanzania hawawaombei wanafiki, waongo, walaghai na wazandiki ambao wako tayari kuuza utu wa mtanzania kwa pesa chafu za mafisadi, ambao wameonesha wako tayari kukiuka misingi yao waliyojiwekea kwa tamaa za watu wachache wealiohongwa na mafisadi.

Watanzania pia hawako tayari kupoteza muda wao kuwaombea watu wasiotabirika na kueleweka kama wako upande gani Mungu au Shetani.

Spoken like a true CCM
 
I have a strong feeling kua Dr.Slaa haungani kabisa na what these guys have been doing, ni speculation though! yeye mwenyewe atatuhakikishia. I thought CDM wanajielewa ila after all that's happening nawaona ovyo tu.

Kuna kitu watu wa TISS wamefanya kwa Dr Slaa
 
Sikuwahi kufikiria kama CHADEMA hamna shukrani kiasi hiki,mtu aliyewapandisha juu kisiasa leo mnamdhalilisha hivi,ungrateful animals.

Mbowe ndo kaharibu Chama.Wanaosifia uamuzi wa Mbowe ni wale wafuasi wa Chadema wasio na akili.CDM imepatiwa heshima na Dr Slaa na pengne Baregu na Marando.Wanaobaki hakuna hata mmoja mwenye kumvutia yeyote mwenye utimamu wa akili ajiunge na Chadema.
 
Dr. Slaa alienda kwa Nabii Mwingira akamwambia hivi "Dr. ukombozi wa nchi hii sasa siyo mjadala ni lazima na Mungu ameridhia, pambambaneni ila naona mtoto akizaliwa!! ombeni sana maana naona damu hatar ya damu kumwagika.
Sasa sijui hakuelewa mtoto anayezaliwa ni Lowassa.
aaaaaaah aaaaaaaah!!
 
Wanachadema tunampenda sana dr slaa lkn kwa hili la kutokukubali maamuzi ya wanachama wengi?atupishe atuachie chama chetu
Chadema sio ya dr slaa,chadema ni ya wanachama
Kiongozi yeyote asiyeheshimu maoni ya wananchi hatufai,ss hatuendi kutafuta katibu wa chadema,la asha tunaenda kumtafuta rais wa watanzania
 
Sala za nini tena kama wakati Mbowe kafanya biashara ya maslahi.
 
Watanzania hawawaombei wanafiki, waongo, walaghai na wazandiki ambao wako tayari kuuza utu wa mtanzania kwa pesa chafu za mafisadi, ambao wameonesha wako tayari kukiuka misingi yao waliyojiwekea kwa tamaa za watu wachache wealiohongwa na mafisadi.

Watanzania pia hawako tayari kupoteza muda wao kuwaombea watu wasiotabirika na kueleweka kama wako upande gani Mungu au Shetani.

Jiandae kisaikolojia kuwa kwenye kambi rasmi ya upinzani,maana hakuna namna
 
Kila jambo kwa wakati wake, naamini sasa ni wakati wa kushukuru mchango wa DR. Slaa lakini ni wakati wa kuanza kufikiri bila Dr. Slaa CDM inawezekana. Ukiangalia kwa ndani utagundua kuna jambo la ziada linaendelea hapa.

Ukiangalia kwa mbali!!!!!
 
Back
Top Bottom