Mkutano wa ACT Karatu

Mkutano wa ACT Karatu

Siasa za Wabongo bwana, ni vituko tu! akili robo! Hapo inaonekana kabisa ni kwenye office za chama na jengo lenye rangi ya blue linaonekana kabisa! lakini cha ajabu kuna majuha wameamini kua huo ni mkutano wa chama cha ACT.

Halafu mkutano gani wa muda na wakati kama huo wa jua kali namna hiyo.?! Hata kama hupendi chama flani, penye ukweli sema ukweli sio kuongopa.

Wadau hii ni siasa tu! msijitoe ufahamu na kutumia nguvu nyingi sana kutetea wanasiasa. Usimwamini mwanasiasa yeyote 100%. Mwamini mwanasiasa 05% tu!

Napenda siasa za Zitto, lakini kamwe siwez kumwamini na kuweka imani yangu kwake hata 80%. Mwanasiasa ni mwanasiasa tu! Mi siamini kua kuna mwanasiasa yeyote mwenye uchungu na maendeleo ya wananchi. Wengi wana uchungu na maendeleo yao binafsi! Mwanasiasa wa kibongo siku zote anawafanyia wananchi kitu kidogo sana sana ili kuwatia upofu wananchi waendelee kumuweka madarakani tu.

Leo hii tunaona Mbowe au Lema wanatumia nguvu na pesa zao nyingi na kufokafoka majukwaani mkani wanauchungu na maendeleo ya wananchi wote! hapana! hawa wote wanatafuta ulaji tu! wakishika dola ndo utakua muda muafaka kwao kula raha za duni kama vile kujilimbikizia mali na kuwatumi vimada na kwenda kula raha Dubai.

Magamba ndo bas kabisaaa! wanatunyonya wananchi bila hata huruma. ACT WAZALENDO nao huenda wanajiita wazalendo kitu ambacho sio. Vyama vyote vya siasa makanjanja tu! Kila kukicha wanatokwa mapovu majukwaani ili wapate nafasi ya kinyonya nchi! Hata mie sio mzalendo 100%. Labda 50%.

huna hoja ya msingi zaidi ya kubwabwaja tu!
 
​kaazi kweli kweli hicho utadhani ni kijiwe cha masela wanapiga story
 
Wekeni picha hapa acheni kulialia wasaaliti wakubwa nyie
 
Nilikuwa napita zangu nikakutana na huu mkusanyiko.
attachment.php



Baada ya kumaliza,ziara tunaingia field,si alijidai yeye na kitila Mkumbo wanambinu zao nyingi na wasimi!

Walishindwa kujenga chama hata kigoma kwenyewe sembuse leo,waende Mwandiga
 
Back
Top Bottom