Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Act wazalendo mwaka huu lazima kichukue dola
View attachment 242556
safari njema ACT dola kama kigoma mtashinda.
Act wazalendo mwaka huu lazima kichukue dola
Kimeta tangu lini umekuwa act, nenda Mpui(Swanga) kaka kalime mahindi
Nilikuwa napita zangu nikakutana na huu mkusanyiko.
![]()
mwanzo mzuri,Hayo mahudhurio makubwa ni pamoja na matawi na majani ya huo mti?
Nilikuwa napita zangu nikakutana na huu mkusanyiko.
![]()
ACT chama makini tanzania kina mkutano mkubwa leo hi karatu mjini kwa uzinduzi karibn mpate sera safi kutoka act
Siasa za Wabongo bwana, ni vituko tu! akili robo! Hapo inaonekana kabisa ni kwenye office za chama na jengo lenye rangi ya blue linaonekana kabisa! lakini cha ajabu kuna majuha wameamini kua huo ni mkutano wa chama cha ACT.
Halafu mkutano gani wa muda na wakati kama huo wa jua kali namna hiyo.?! Hata kama hupendi chama flani, penye ukweli sema ukweli sio kuongopa.
Wadau hii ni siasa tu! msijitoe ufahamu na kutumia nguvu nyingi sana kutetea wanasiasa. Usimwamini mwanasiasa yeyote 100%. Mwamini mwanasiasa 05% tu!
Napenda siasa za Zitto, lakini kamwe siwez kumwamini na kuweka imani yangu kwake hata 80%. Mwanasiasa ni mwanasiasa tu! Mi siamini kua kuna mwanasiasa yeyote mwenye uchungu na maendeleo ya wananchi. Wengi wana uchungu na maendeleo yao binafsi! Mwanasiasa wa kibongo siku zote anawafanyia wananchi kitu kidogo sana sana ili kuwatia upofu wananchi waendelee kumuweka madarakani tu.
Leo hii tunaona Mbowe au Lema wanatumia nguvu na pesa zao nyingi na kufokafoka majukwaani mkani wanauchungu na maendeleo ya wananchi wote! hapana! hawa wote wanatafuta ulaji tu! wakishika dola ndo utakua muda muafaka kwao kula raha za duni kama vile kujilimbikizia mali na kuwatumi vimada na kwenda kula raha Dubai.
Magamba ndo bas kabisaaa! wanatunyonya wananchi bila hata huruma. ACT WAZALENDO nao huenda wanajiita wazalendo kitu ambacho sio. Vyama vyote vya siasa makanjanja tu! Kila kukicha wanatokwa mapovu majukwaani ili wapate nafasi ya kinyonya nchi! Hata mie sio mzalendo 100%. Labda 50%.
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT
Nimepita hapo kwa kifupi ni aibu ya karine. Kama vipu tupia picha. Watu wamewashitukia wanajua lengo lenu ni lipi
Act wazalendo mwaka huu lazima kichukue dola