MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA

MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA

Mkutano mkuu Halali ni lazima uitishwe na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, ni lazima Akidi itimie ya wajumbe halali zaidi ya nusu kuhudhuria lakini taratibu zote kufuatwa.

Mkutano ule wa January 18 na 19 January uliompitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais na Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea mwanza Zanzibar ulikuwa na wajumbe halali 1924 kati ya 1928.

Maneno ya Dkt. Dennis Muchunguzi ambaye ni mchambuzi wa masuala ya siasa na Mwanazuoni.

Kikao kimeongozwa na Spesho Kabwanga
 

Attachments

  • VID-20250720-WA0032.mp4
    14 MB
Mkuu, mkutano waweza kuwa halali, akidi ikatimia, lakini mchakato husika ndio ukapigwa mguu pande.

Mimi ndivyo nimemwelewa Balozi Polepole.
 
Back
Top Bottom