Mkurya na TRA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurya na TRA.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mfarisayomtata, May 10, 2012.

 1. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mzee mmoja mkurya mwanae wa kiume baana ya kumaliza shule alimwambia Baake, "Baba nimeomba kazi TRA sijui ntachaguliwa"
  Baba "TRA ndo Jeshi gani mwanangu tena? kwanini usingeomba kwenye jeshi letu (JWTZ)?
   
 2. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni waaminifu sana jeshini na wana mapenzi ya kweli na taifa lao,mfano Generali Mwita kyaro aliyezikwa majuzi alipewa mapene kwenda kutibiwa majuu,ikabaki chenchi kairudisha jeshini.Hawa hawa ndo waliongoza mapambano ya kumkimbiza nduli Idd Amini,ni wachapa kazi,wale walioingia kwenye ulingo wa elimu ni vipanga darasani sio vilaza,hawana asili ya uvivu.Japo hapo nyuma walikuwa na mfumo dume kwa wanawake lakini kwa sasa wingi wa vyombo vya habari na elimu wanabadilika,nawapenda sana hawa watani zangu.
   
Loading...