Mkurugenzi wa Mafia ndugu Mapunda ni kimeo

Mkurugenzi wa Mafia ndugu Mapunda ni kimeo

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,987
Kwa kukubali kulipa malipo haya kwa madai haya na kukimbilia polisi kuwashitaki wasohusika kwa kutete haya.
1) Kununua vipande vya mabo huko iringa bila kufuata utaratibu wa manunuzi
2) Kumdanganya mwajiri na kumpa kidosho/ wako 4.5 mil kuwa umejenga bwawa la Maonesho huko 8 8 Moro sio kweli. Utawafunga wote lakini ukweli utabaki
3) Umenunua simenti huko Bunju kwa kutumuia hati feki wala hukufuata utaratibu wa manunuzi
4) Umempa ruhusa mtumishi kisa umempa ujauzito kwenda kusoma bila kutimiza masharti ya kisheria ( 3yrs)

IMG-20171203-WA0000.jpg
 
Mwacheni kijana wa watu atumie nafasi yake huu ndio wakati wake, subiri wakati wako ukifika na wewe utatesa tu!
 
tuhuma zako hazijaeleweka ,embu tulia kwanza afu andika vzuri ili tujue unacho maanisha
 
Mkuu yawezekana una hoja but unaeza kupewa nafas upya
Masuala haya hayajakaa poa,MD fanya ku clear hii ishu..il watu wajue uhalisia
 
Back
Top Bottom