Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Juma Idd apoteza wadhifa wake

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Alitumia nguvu zote kumharibia Sugu,alitelekeza familia yake Ilomba Mbeya kwenye kibanda cha mbavu za mbwa.

Alishindwa kusimamia miradi ya maendeleo akaamua kununua timu badala ya kusaidia miradi ya maendeleo.

Aliendesha Jiji kwa majungu.

HATIMAYE WAZIRI WA TAMISEMI KAMFUNGASHIA VIRAGO. HILI NI FUNDISHO KWA WAJINGA WENGINE KAMA YEYE
attachment.php
 

Attachments

  • Juma-Iddi-Mkurugenzi-Jiji-Mbeya.jpg
    Juma-Iddi-Mkurugenzi-Jiji-Mbeya.jpg
    42.5 KB · Views: 4,044
Eeeee ndo wajue kuwa cheo ni dhamana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Si nasikia kapata zawadi ya ufanyakazi bora kwenye Mei Mosi? Ama walikuwa wanamdanganyishia wamtimue?
 
Aiseee haya ni maumivu hebu mtuambie yeyote anayejua huyu bwana iddy atakuwa nani !! Maana kafukuza wafanyakazi wengi sana kwa sbb tu ya majungu ya watu wachache, jiji chafu kama ..... Yake,, kawaambukiza mpaka vidampa wengine idara nyingine nao wamekuwa na majungu kama late boss wao very shamless ! Mbavu za mbwa
 
Alitumia nguvu zote kumharibia Sugu
Alitelekeza familia yake Ilomba Mbeya kwenye kibanda cha mbavu za mbwa
Alishindwa kusimamia miradi ya maendeleo
Akaamua kununua timu badala ya kusaidia miradi ya maendeleo
Aliendesha Jiji kwa majungu
HATIMAYE WAZIRI WA TAMISEMI KAMFUNGASHIA VIRAGO. HILI NI FUNDISHO KWA WAJINGA WENGINE KAMA YEYE

Kama kuna viongozi wanaojituma/ dedicated to thiscountry busi Juma Iddi hana mfano. Namfahamu toka Iringa akiwa asst na pia DPLO, Serikali imepoteza mwelekeo hapo, bora wangempeleka eneo jingine lisilo na siasa kama Mbeya. They gonna regret with grave cost.
 
Hawa Ghasia huwa hana Mchezo tangu kapewa Tamisemi wakurugenzi wamekuwa wanajambajamba sasa, ni dada wa Kazi sio kutembea na Vyombo vya habari kuuza Nyago, Utumishi ndio mtu aliejaribu kuirejeshea heshima walau leo mtoto wa Maskini anapata matumaini ya kuomba kazi baada ya Ku centralize mfumo wa Ajira ili kupunguza mfumo wa Vimemo kama ilivyo TRA,BOT,pension funds na Bandari ambako wana Autonomy ya Kuajiri so wamegeuza kama viofisi vya kihindi kuajiri wamtakae bila ya kuzingatia Vigezo!
 
Kama kuna viongozi wanaojituma/ dedicated to thiscountry busi Juma Iddi hana mfano. Namfahamu toka Iringa akiwa asst na pia DPLO, Serikali imepoteza mwelekeo hapo, bora wangempeleka eneo jingine lisilo na siasa kama Mbeya. They gonna regret with grave cost.
Siasa zipi zilizomuondoa Juma mby , ana zaidi ya miaka miwili na miezi saba au nane Mby tuambie ni la maana lipi aliloufanyia mkoa huu, tumekuwa tukilalamika sana kuhusu barbara ya stand kuu Meta hospital barabara ambayo ipo chini ya jiji ,lakini imekuwa ikiwekwa viraka ambavyo havimalizi siku mbili, account zote alizihodhi yeye na gakuna kitu kilichokuwa kikifanyika bila yeye, watu waliokatibu yake walishindwa kumshauri kwa kuhofia kufukuzwa kazi bila taratibu, na uliza kama alushawahi fanya vikao na watumishi wa idara zote toka amefika jiji la Mby ,, hakuna!!! Yeye ndo alikuwa hakimu wa kila kitu .
 
Huyo Muislam alifuata nini kwenye mkoa wa Kikristo Mbeya?. Bora katimuliwa tu. Bado Abbas Kandoro na katibu tawala wa mkoa Mariam. They should go... !
 
Alitumia nguvu zote kumharibia Sugu
Alitelekeza familia yake Ilomba Mbeya kwenye kibanda cha mbavu za mbwa
Alishindwa kusimamia miradi ya maendeleo
Akaamua kununua timu badala ya kusaidia miradi ya maendeleo
Aliendesha Jiji kwa majungu
HATIMAYE WAZIRI WA TAMISEMI KAMFUNGASHIA VIRAGO. HILI NI FUNDISHO KWA WAJINGA WENGINE KAMA YEYE

Kazi kwelikweli
 
...mpende au umchukie, Idd ni mtendaji mahiri, Jiji la Mbeya limepoteza katika hili...
 
Hii habari ina ukweli kiasi gani? Nadhani mleta uzi huu athibitishe hilo kwa evidence

1.Nani kateuliwa kwenda Jiji la Mbeya?
2. Taarifa hii ni ya lini?
3. Bwn Idd yeye kapelekwa wapi ni Wizarani au Wilaya nyingine?

Je mleta uzi au mdau mwingine anaweza kutusaidia full list ya mabadiliko katika Halmashauri mbalimbali kama yapo?
 
Kibanda cha mbavu mbwa mkurugenzi wa jiji???????????????

Foolish him!!!!!

authenticity ya habari ikoje,?. hivi ni rahisi mkurugenzi kufukuzwa kwa makosa haya; kumbana SUGU!? familia kwenye mbavu za mbwa?!. inamaana jiji halina nyumba ya MD?. amefukuzwa?amehamishwa?amesimamishwa?amestaafishwa?!....... chanzo cha habari ni kipi ili tuhakiki na tuelewe vizuri!.... tuepuke jazba kwenye "easy to prove" issues.
 
Sawa anajitu huko ulikomuona, lakini watu huwa wanabadirika sana kutokana na mazingira. Juma Iddy pale mby jiji anadeal sana na watu (majungu) badala ya kupiga kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom