Bwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na ibada za Kishetani za kunywa damu ya watoto hao, zilizokuwa zikifanyika katika kisiwa cha mhalifu Jeffery Epstein mwenye uraia wa Marekani na Israeli.
Hayo yalikuja katika kashfa zinazoendelea kufichuliwa na nyaraka zilizokutwa katika chumba cha Epstein, ambaye anashukiwa kuwa jasusi wa Mossad.
Jeffery Espstain, kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akifanya kazi na Mossad ya kuwarubuni watoto wadogo na kuwapeleka kisiwani kwake, ambako aliwaandalia wakuu mbali mbali wa nchi na matajiri wakubwa, kama akina Bill Gate, Bill Clinton, na majina bado yanafichuliwa...pia kushiriki katika ibada ya shetani Baal, ambayo miongoni mwa matendo ni kunywa damu ya watoto. Hii wanadai ni ili kuwapa nguvu za kifedha na ushawishi mkubwa duniani.
Pia soma DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein
Bw, Sleyyim ameiongoza DP World kwa zaidi ya miaka thelathini na inasemekana ndiye aliyeifanya kuwa mamlaka maarufu ya bandari duniani ambapo inamiliki au kuendesha asilimia 10 ya bandari zote duniani.
Katika email yake akimwandikia Epstain, alielezea kufurahishwa kwake kwa kuhudhuria video ya kuadhibiwa kwa watoto alipoalikwa kisiwani huko!
Majina makubwa duniani yakiwemo ya wanasiasa, wakuu wa makampuni na wanasiasa duniani, akiwemo balozi wa Uingereza Marekani, Mwana Mfalme wa Uingereza na wengine, wamewajibika kujiuzulu nyadhifa zao baada ya majina yao kufichuliwa kwenye orodha ya Epstain.
Naye Epstain alifanyiwa mizengwe na Mossad na kuonekana kana kwamba amejinyonga katika jela ya Marekani akisubiri hukumu, ila hivi majuzi watu kadhaa wamesema wamemwona akidunda mjini Tel Aviv.
Kiuchumi, makampuni kadhaa Ulaya yamejitoa katika kuisapoti DP World kutokana na kashfa hiyo, ukiwemo mfuko wa dhamana wa Norway, unaoongoza duniani kuwa mfuko mkuu wa dhamana duniani kwa fedha.