PseudoDar186
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 104
- 241
Kwa wale wanaojua ... hii ni nafasi adhimu ya kuvunja mkataba baina ya DP World na TPA.
😄😄 Ameshtuka kuwa wanapigwa ,Mpiganaj mmoja wa ISIS amewahi kusema nanukuu "wanasema tusivute sigara ila wao wanavuta...wanasema tusiwe na madem ila nilishuhudia mashee kibao wakiwa na malaya huko huko ARABUNI....
Yaani kwanza serikali iliapswa ifanye hivyo mara MojaKwa wale wanaojua ... hii ni nafasi adhimu ya kuvunja mkataba baina ya DP World na TPA.
Kwani hujawahi kusikia hizi kashfa Kwa Jay-Z !? Juzi juzi tu Nick Minaj katika kumtaja X hukoUnaposema walikuwa wakinywa damu za watoto, unamaanisha walikuwa wakiwaua watoto na kunywa damu zao, au walikuwa wanawatoa damu kwa sindano, na kuwaacha watoto wakiwa hai?
File la Epstein 😄VIONGOZI WALIVO SEMA, "HATUTO KUBALI DP WORLD AONDOKE ZAKE" BADO najiuliza walipewa Nini hao?
😄😄 Kwani wewe ukisikia Allah una uhakika Gani kuwa ni Mungu kweli !?Kuna Watu wengi walikua wanaipambania DP World kwa karata ya UDINI.
Ipo mpaka taasisi ya kidini ilipambana sana kuipigia upatu DP World. Haya sasa kumbe boss amamwabudu Baal
Nani Tena !?Bado mambo ya huyu mtoto kuwekwa bayana.
Watu wanasema huko nyuma alishaliwa na wajanja ila evidence ndio inatafutwa.
Mjomba au hawara?Mjomba wa samuya huyo