Mkurugenzi wa DP World atoroka Dubai!

Mkurugenzi wa DP World atoroka Dubai!

Kama kweli katoroka atakuwa mbuzi wa kafara
tusubiri Tanzia muda sio mrefu
hatoboi huyu!
 
Bwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na
ibada za Kishetani za kunywa damu ya watoto hao, zilizokuwa zikifanyika katika kisiwa cha mhalifu Jeffery Epstein
Kiuchumi, makampuni kadhaa Ulaya yamejitoa katika kuisapoti DP World kutokana na kashfa hiyo, ukiwemo mfuko wa dhamana wa Norway, unaoongoza duniani kuwa mfuko mkuu wa dhamana duniani kwa fedha.
Washirika wake wa Tanzania, Samuya & Co wanasemaje?
 
Kwa bahati nzuri, yote haya yako mtandaoni na kwa ushuhuda wa waliyoyaona au kuwa katika makundi hayo. Watoto huuawa hasa na damu yao ikanywewa. Hawa watu wana nguvu kubwa hata serikali haziwawezi. Mfano, Gaza watoto 25,000 wameuawa ambalo ni war crime, nani ameshikwa? Utaona Samia wetu huenda akapelekwa huko, lakini hao...... ndiyo maana sina imani hata na UN!
Unatupiga kamba mkuu.
 
Unaposema walikuwa wakinywa damu za watoto, unamaanisha walikuwa wakiwaua watoto na kunywa damu zao, au walikuwa wanawatoa damu kwa sindano, na kuwaacha watoto wakiwa hai?
Hujui mkuu,hayo macenge ni mashetani, mkurugenzi wa FBI aliposema ameona mambo maovu kwenye mafaili ya Epstein nilidhani ni kunajisi watoto tu,baadhi waliwaua na kula nyama kama ibada/makafara ya kishetani
 
Bwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na
ibada za Kishetani za kunywa damu ya watoto hao, zilizokuwa zikifanyika katika kisiwa cha mhalifu Jeffery Epstein mwenye uraia wa Marekani na Israeli.
Hayo yalikuja katika kashfa zinazoendelea kufichuliwa na nyaraka zilizokutwa katika chumba cha Epstein, ambaye anashukiwa kuwa jasusi wa Mossad.
Jeffery Espstain, kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akifanya kazi na Mossad ya kuwarubuni watoto wadogo na kuwapeleka kisiwani kwake, ambako aliwaandalia wakuu mbali mbali wa nchi na matajiri wakubwa, kama akina Bill Gate, Bill Clinton, na majina bado yanafichuliwa...pia kushiriki katika ibada ya shetani Baal, ambayo miongoni mwa matendo ni kunywa damu ya watoto. Hii wanadai ni ili kuwapa nguvu za kifedha na ushawishi mkubwa duniani.

Bw, Sleyyim ameiongoza DP World kwa zaidi ya miaka thelathini na inasemekana ndiye aliyeifanya kuwa mamlaka maarufu ya bandari duniani ambapo inamiliki au kuendesha asilimia 10 ya bandari zote duniani. Katika email yake akimwandikia Epstain, alielezea kufurahishwa kwake kwa kuhudhuria video ya kuadhibiwa kwa watoto alipoalikwa kisiwani huko!

Majina makubwa duniani yakiwemo ya wanasiasa, wakuu wa makampuni na wanasiasa duniani, akiwemo balozi wa Uingereza Marekani, Mwana Mfalme wa Uingereza na wengine, wamewajibika kujiuzulu nyadhifa zao baada ya majina yao kufichuliwa kwenye orodha ya Epstain.

Naye Epstain alifanyiwa mizengwe na Mossad na kuonekana kana kwamba amejinyonga katika jela ya Marekani akisubiri hukumu, ila hivi majuzi watu kadhaa wamesema wamemwona akidunda mjini Tel Aviv.

Kiuchumi, makampuni kadhaa Ulaya yamejitoa katika kuisapoti DP World kutokana na kashfa hiyo, ukiwemo mfuko wa dhamana wa Norway, unaoongoza duniani kuwa mfuko mkuu wa dhamana duniani kwa fedha.
ROSTAM AZIZI NI HATARI NA MUOVU KULIKO HAO WAKINA EPSTEIN JEFFREY
 
Bado mambo ya huyu mtoto kuwekwa bayana.
Watu wanasema huko nyuma alishaliwa na wajanja ila evidence ndio inatafutwa.
 
Samia wetu,neno kubwa sana hilo!!!lakini aliiiamini hii kampuni akaipa mkataba nadhani wameamua kumkomoa Ili kampuni ife na ipate hasara !wakati huo yeye akitafutwaaende ICC kujibu tuhuma!!

KAZI na utu,tusonge mbele!
Kwa bahati nzuri, yote haya yako mtandaoni na kwa ushuhuda wa waliyoyaona au kuwa katika makundi hayo. Watoto huuawa hasa na damu yao ikanywewa. Hawa watu wana nguvu kubwa hata serikali haziwawezi. Mfano, Gaza watoto 25,000 wameuawa ambalo ni war crime, nani ameshikwa? Utaona Samia wetu huenda akapelekwa huko, lakini hao...... ndiyo maana sina imani hata na UN!
AM
 
Unaposema walikuwa wakinywa damu za watoto, unamaanisha walikuwa wakiwaua watoto na kunywa damu zao, au walikuwa wanawatoa damu kwa sindano, na kuwaacha watoto wakiwa hai?
Sisi tunawekewa picha tu
Na kwa sasa kuna hili la AI basi tutapotoshwa sana

Kuna picha nyingi zinasambaa mitandaoni wakisema kuwa ni mambo ya JE kumbe ni AI
 
Back
Top Bottom