Mkurugenzi Ngorongoro Jumaa Mhina yamkuta tena

Nyie ndio mnafuga maradhi , mnawatetea wazembe na wavivu Kama hawa ili mambo yakiwa ndivyo sivyo mpate lakuikandia serikali . Ndio maana siwaamini kabisa nyie wapinzani wa bongo hata hamuelewekagi .

Huyu mtu mshaambiwa ni stubborn kwamba ndio tabia zake hizo, alinusurika kutumbuliwa na rais akasamehewa.

Hiyo likizo si inapelekwa mbele kwani ni mgonjwa au atakufa akikosa hiyo likizo kwa wakati huu? Kaomba likizo mara mbili imezuiwa kaambiwa mradi huu ufanikishwe kwanza January watoto waanze kusoma, jeuri. Apumzishwe tu maana inaonekana ameshachoka Sasa.
Kuomba likizo ni kosa? shame on you
 
Huyu Mkuu wa mkoa anatafuta maarufu tu.Mkurugenzi ni ofisi si mtu. Kwani kaimu mkurugenzi hawezi kusimamia madarasa?Halafu tabia ya kumtaja Rais ni kutojiamini. Anatafuta huruma ya Rais ili aonekane anapiga sana kazi. Hovyooo
Mfumo mbovu sn kila kitu Rais, halafu likizo ni haki ya mtu na siyo hisani
 
Huyu mtu mshaambiwa ni stubborn kwamba ndio tabia zake hizo, alinusurika kutumbuliwa akasamehewa.

Hiyo likizo si inapelekwa mbele kwani ni mgonjwa au atakufa akikosa hiyo likizo kwa wakati huu? Kaomba likizo mara mbili imezuiwa kaambiwa mradi huu ufanikishwe kwanza January watoto waanze kusoma, jeuri. Apumzishwe tu maana inaonekana ameshachoka Sasa.
Kwani yeye ni fundi? DED ni ofisi nini kigumu hapa? RC anatafuta kujipendekeza kwa Raisi. Kwani DED akiondoka ofisi zinafungwa?

Muulize mchengelwa kwamba kwanini kuna likizo?
Mtu anaomba likizo mara 2 mnakataa mnategemea nini? Hamjui pia kuna maisha baada ya utumishi?. Kuajiriwa sio kununuliwa tuwe na mitazamo ya mbali tunapojadili mambo haya na tusiendeshe na mihemko ya kisiasa
 
Likizo ni haki ya kila mfanyakazi.

Hua tunaambiwa kwamba ofisi siyo mtu. Kama ni kweli ofisi siyo mtu basi ukurugenzi wa Wilaya siyo Mhina. Mhina anaweza kufa ghafla, mtaacha kujenga mpaka afufuke?

Hana kaimu? Ninavyojua amabchp hakiwezekani ni kiongozi na kaimu wake kwenda likizo kwa wote kwa pamoja.

Mhina angeweza kwenda likizo na kaimu akasimamia ujenzi.

Mkuu wa Mkoa anaonyesha siyo kiongozi mzuri ama la basi hajui anachokipigania.
 
Hivi siku hizi CCM wameacha kurogana?

Maana kati ya vitu vinne CCM wanavyojua sana, kurogana ni namba tatu, kwa mujibu wa Slowslow...😁
 
Likizo ni haki ya kila mfanyakazi.

Hua tunaambiwa kwamba ofisi siyo mtu. Kama ni kweli ofisi siyo mtu basi ukurugenzi wa Wilaya siyo Mhina. Mhina anaweza kufa ghafla, mtaacha kujenga mpaka afufuke?

Hana kaimu? Ninavyojua amabchp hakiwezekani ni kiongozi na kaimu wake kwenda likizo kwa wote kwa pamoja.

Mhina angeweza kwenda likizo na kaimu akasimamia ujenzi.

Mkuu wa Mkoa anaonyesha siyo kiongozi mzuri ama la basi hajui anachokipigania.
Hakuna kutetea ,huyo Mkuregenzi aende Site. Achague kazi au aende likizo ya milele. Hatutaki ujinga.

Kwani ameambiwa likizo imefutwa kabisa ? Kuzuiwa kwa Sasa hivi ndio kunyimwa haki ? Yeye haoni majukumu yaliyo mbele yake anakimbilia likizo ? Kwani anaumwa au amezidiwa ? Kazi zenyewe za kukaguakagua tu kusimamia na kusaini saini nako anakimbia mfyuuu .

Mshaambiwa huyo jamaaa ni mkorofi, na anaonekana wazi sio muelewa kabisa. Watu Sasa hivi wako mbiombio miradi hii ikamilike yeye anataka akale bata mapema yote hii.

Rais samia alishawaambia anaenda kuwapima kwa miradi hii ya covid19 na aliwasisitizia kwelikweli, Sasa anakimbiaje mtihani kwamaana hiyo kazi ishamshinda huyo atokee wazee wa hapa kazi tu wakalie kiti yeye akapumzike vizuri na mkewe.

Mnatetea upumbavu tu na uvivu uvivu na uzembe. Aondolewe hafai. Hawa ndio watendaji watakaorostisha juhudi za mhe. Rais
 
Nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.

Mkurugenzi hua ana kaimu wake.

Asipokuepo kaimu atasimamia.

Mjifunze kuendana na taratibu za kisheria.
 
Kuna utaratibu gani wa kisheria uliovunjwa hapo ? Kumwambia mtu kamilisha kazi Yako hii muhimu Kisha uende likizo ?
Kuendekeza tu uzembe. Hivi hiyo kazi inachosha kiasi hicho
 
Huyu mtu mshaambiwa ni stubborn kwamba ndio tabia zake hizo, alinusurika kutumbuliwa akasamehewa.

Hiyo likizo si inapelekwa mbele kwani ni mgonjwa au atakufa akikosa hiyo likizo kwa wakati huu? Kaomba likizo mara mbili imezuiwa kaambiwa mradi huu ufanikishwe kwanza January watoto waanze kusoma, jeuri. Apumzishwe tu maana inaonekana ameshachoka Sasa.
Hapana huyo anajua haki zake. Yaani nipange ratiba zangu Disemba wakati wa likizo halafu unakurupuka huko unizuie? Nani kakuambia madrasa ni dharura? Imekuwa Covid 19 hiyo?
 
Hata mimi siwezi kuacha kwenda likizo yangu wakati nina wasaidizi kibao, si yupo afisa Elimu, afisa mipango, mhandisi nk??
Unatumbuliwa tu kwani wewe umekua nani , hatutaki maujinga hapa. Uende ukajiajiri kwenye umachinga au kilimo ili ujipe likizo utakavyo. Tuone Kama kwenye kujiajiri watu wanajipa likizo bila kutumia akili.

Watu Kama nyie ndio huwa biashara na miradi yenu binafsi inawashinda kwa kuendekeza starehe na mapumziko, hovyoo. Hamna hata haya Wala aibu kutetea uvivu.

Uzembe wenu na uvivu wenu ndio umetufikisha hapa. Magufuli ndio alikua kiboko yenu.
 
Hakuna kutetea ,huyo Mkuregenzi aende Site. Achague kazi au aende likizo ya milele. Hatutaki ujinga.

Kwani ameambiwa likizo imefutwa kabisa ? Kuzuiwa kwa Sasa hivi ndio kunyimwa haki ? Yeye haoni majukumu yaliyo mbele yake anakimbilia likizo ? Kwani anaumwa au amezidiwa ? Kazi zenyewe za kukaguakagua tu kusimamia na kusaini saini nako anakimbia mfyuuu .

Mshaambiwa huyo jamaaa ni mkorofi, na anaonekana wazi sio muelewa kabisa. Watu Sasa hivi wako mbiombio miradi hii ikamilike yeye anataka akale bata mapema yote hii.

Rais samia alishawaambia anaenda kuwapima kwa miradi hii ya covid19 na aliwasisitizia kwelikweli, Sasa anakimbiaje mtihani kwamaana hiyo kazi ishamshinda huyo atokee wazee wa hapa kazi tu wakalie kiti yeye akapumzike vizuri na mkewe.

Mnatetea upumbavu tu na uvivu uvivu na uzembe. Aondolewe hafai. Hawa ndio watendaji watakaorostisha juhudi za mhe. Rais
Mzee mbona una makasiriko Sana mkurugenzi kwenda likizo? Au una agenda zako!
 
Hapana huyo anajua haki zake. Yaani nipange ratiba zangu Disemba wakati wa likizo halafu unakurupuka huko unizuie? Nani kakuambia madrasa ni dharura? Imekuwa Covid 19 hiyo?
Baba kasimamie tu biashara zako ndio ukajipe likizo bila hata ya kutumia akili tuone itakuaje, kwamba hapa likizo ina ulazima au vipi .
Unakubalije majukumu au kazi usizozimudu.

Hivi Kwenye CV zenu pale huwa mnaandikaje vile kwamba si mnasema mnaweza kufanya kazi ndani ya deadline. Unaendaje likizo kazi Yako hujamaliza tena muhimu.

Majukumu huyamudu achia ngazi mwenyewe sio mpaka mtumbuliwe kwa fedheha na aibu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,John Mongela, amechukizwa na kitendo alichokifanya mkurugenzi wa wilaya ya Ngorongoro,Jumaa Mhina kwa kukaidi agizo lake na kuamua kwenda Likizo wakati akijua changamoto ya madarasa katika wilaya hiyo bado ni kubwa.

Akiongea kwenye mkutano wa utilianaji sahihi baina ya kandarasi za maji na wakala wa Maji vijijini RUWASA , Mongela bila kupepesa macho alimwambia mkurugenzi huyo asimjaribu hasa katika kipindi hiki Kuna wimbi la watoto kujiunga na kidato Cha kwanza mwakani.

"RAS nakuagiza huyu mkurugenzi kamwandikie barua ya onyo kanikwaza kweli nilishamkatalia mara mbili,ananijaribu, hajamaliza madarasa anataka likizo ,sasa haya mambo mengine ya kitoto wengine hatupendi"alisema

Mongela aliongeza "sote tumemwona rais anavyohangaika katuletea fedha za madarasa , kipindi kama hiki tungekuwa tunahangaika kushika mbuzi na kuku wa watu kupata fedha za madarasa".

Mkuu huyo wa mkoa alisema kuwa serikali ya Mama Samia imejipanga kumaliza suala la madarasa Kwa sababu fedha zipo, hivyo asitokee mtu mmoja kukwamisha jitihada hizi.

Mongela amedai kushangazwa na kitendo cha mkurugenzi huyo kuamua kuomba Likizo mara ya pili Kwa Katibu tawala (RAS) wakati alishamkatalia kwa sababu ya kutokamilisha suala la madarasa katika wilaya hiyo na kumwamuru RAS kumpatia onyo kali.

Mkurugenzi Mhina hivi karibuni alinusurika kutumbuliwa pale Rais Samia alipotangaza hadharani katika mkutano wa hadhara wilayani Longido alipotembelea Mkoa wa Arusha, akimtambulisha Kwa wananchi alivyo mnusuru Kutokana na tabia yake ya ukorofi na kugombana na wenzake.

View attachment 2060978
Huwezi ukaziuia likizo ya Mtumishi wa umma kisa wewe ni RC
 
Back
Top Bottom