Mkurugenzi Mtiifu....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
DSC00878.jpg


Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alberic Kacou akisoma hotuba katika ufunguzi wa Semina ya Siku ya Wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini ambapo alisisitiza ushirikiano katika ya nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa Tanzania ikiwa ni nchi moja wapo kusimamia, kusaidia na kuhamasisha utetezi wa haki za Binadamu chini ya Mpango wa Msaada wa Maendeleo wa UN. Semina hiyo imefanyika kwa ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa nchini na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Kulia ni Mkurugenzi wa Masuala ya mahusiano ya Katiba na Haki za Binadamu kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Mathew Mwamu.

DSC00836.jpg


Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akifungua semina ya Wahariri wa Vyombo vya habari nchini iliyolenga kuwafahamisha kuhusu kusaidia kuandika habari juu ya haki za binadamu. Semina hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Masuala ya mahusiano ya Katiba na Haki za Binadamu kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Mathew Mwamu.
(Pich kwa hisani ya Moblog
 
dah hii yenyewe ni kinyume na haki za binadamu, sasa wanajadili nini?
 
Sasa hamuoni anasoma risala ,hamuoni itakuwa kazi huko apekue karatasi na huku ashike kisemeo
 
teh teh teh teh si unakumbuka tulivyofundishwa .............".............wako mtiifu........"
 
Back
Top Bottom